Huu ni mtandao
Unao waudhi mafarao
Wafungue kwenye simzao
Wafuatilie hii midundo
Kila mada utaipata
Hats ukiwa msata
Napenda mataako,
yaliyo mnato,
yananipa joto,
jf kuna mashostito,
hawana mvuto,
sura ,zao nzito,
kama mrisho mpoto....Hahaha mtaibaaa
hahahaaaaaaaa...umenifurahisha mkuu.Napenda mataako,
yaliyo mnato,
yananipa joto,
jf kuna mashostito,
hawana mvuto,
sura ,zao nzito,
kama mrisho mpoto....Hahaha mtaibaaa
Naamka asubuhi kisha havuta ganja,
natoa simu yangu naiweka kwe kiganja,
naingia JF nidiscuss na wajanja,
napiga pafu mbili kisha nabanja
hahahaa naona jamii FORUM hapa imehusishwa na ganga.. umetisha mkuu
haa haa vina vyako ni invisible labda hadi tutumie darubini!!!
matumbo tulia nikupe vina
Naona una mistari laini kama losheni
Nakupa mistari mitamu zaidi ya bao la usingizini
JF ndio penye habari za mvuto
JF kama maji usipoyanywa utayaoga
hahahaaaaaaaa...umenifurahisha mkuu.