Napenda mataako,
yaliyo mnato,
yananipa joto,
jf kuna mashostito,
hawana mvuto,
sura ,zao nzito,
kama mrisho mpoto....Hahaha mtaibaaa
ma2mbo unatishaNapenda mataako,
yaliyo mnato,
yananipa joto,
jf kuna mashostito,
hawana mvuto,
sura ,zao nzito,
kama mrisho mpoto....Hahaha mtaibaaa
Chachu Ombara uwezi kunituliza,
Nitakupa kipara mpaka uone giza,
matumbo np imara koment zangu ni miujiza,
nna mistari michafu km baibui la faiza,
mfalme wa jeiefu madem kila siku wananipm eti nawamaliza......bado una energy nikumbushie enzi za ujana?
One two one two
mtengwa
ongeza ufahamu, kama unataka knowledge/
peruzi kila forum, JF ni kama online college/
tema chema, kama kweli ni great thinker/
ukiwa vema, kokote ulipo utasikika/
kila jukwaa liko bize, am hadi pm/
ukimpenda mtu usiulize, muibukie pm/
warembo ndo kibao, jimwage mmu/
domo zege kalagabao, wanafaidi wajuzi tu/
jukwaa la siasa, ndo home of local politics/
karibu nakuhasa, utanielewa kwa hizi lyrics/
Mi naomba nisimamie maandalizi ya show na mapato yote tu
JF Yafariji, Vile Vile Yafundisha,
JF Burudani, nani atakaebisha?
Tunatoa ya undani, hakika yafurahisha,
Kuziondoa sitressi, JF wanikosha!
Mtengwa umetisha
ahhhhha nimeipenda hii jamanikuna mamaafacebook wapi mama jamii forum
uhondo uko huku leta Tee Bag tuunge chai tamu
chit chat ni full story, Mtoto halali na hela
ukiwa qn of sheba we ndo kipenzi cha masela
where is my Honey Faith
mtengwa njoo unitoe stress
ha ha ha ha haKila nikivuta ganja nawaza kumtoamba Madam B,
Evelyn salt simuachi side B,
mara niota napiga dole Honey Faith.
Stimu zinazidi naomba path,
Toka nimfille Shyland,
namtafta Bush land,
hata TFF humu wapo, kama Jamal Malinzi /
watu hawalali kama popo, utasema walinzi/
pitia jukwaa la ajira, kama unasaka kazi/
love connect ndo taswira, kwa wanaosaka wapenzi/
mmu ndo home of malavidavi, kama tip top connection/
jukwaa la elimu kiroho safi, napaita online tuition/
habari za udaku yuko warumi mpe respect/
iwe mchana au usiku, pitia jukwaa la ma celebrity/
jukwaa la matangazo ndo biashara zinafanyika/
ukiingia jf photo utasema uko insta/