milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,064
Nimependa hii track,hz lyrics sasa ucpime.
ingia jukwaa la photo, picha quality zaidi ya 13 mega pixel
ms word ndo doto, humu kuna kaka mtu kama ms Excel
love connect naiuliza NIMPENDENANI
usiniite sokwe bali gorgeousmimi
Good Guy niko kama Malaika Mkuu
japo PesaNdogo kwenye Konakali tunapita tu
JF ni kila kitu kwangu,
Naiweka kwenye ratiba zangu,
Nawajua wabaya na Mungu,
Kuna mambo matamu na machungu,
JF iko juu kama sky
Kuanzia siasani, MMU hadi michezoni,
Tapata kitu maishani,
JF hakika imesheheni,
Iko juu kama sky
Wapo marafiki na wanafiki,
Watu wanakera na mahakamani hatufiki,
Like na komenti kama mkuki,
JF iko juu kama sky
Kutana na wanazuoni na wapambanaji,
Shuhudia wenye soni na waongeaji,
Tazama wapizani, na akina gwijimimi
JF ni tishio
Kivutio majina ya ID zitumikazo,
Hazifanani na watu wazitumiazo,
Na ukiwataja ni mzozo,
JF ni gumzo
JF ni chanzo cha ukakika,
Habari na taarifa kote Afrika,
Asia, Ulaya na Amerika,
Kote huko members wamefika,
JF ni kitu ingine
Mkono ikuluni hahaaaaaaa umeniacha hoi umejuaje kama nilikuwa dj lakini
VUTA-NKUVUTE twende jukwaa la siasa
mzalendoorijino nasema Chademakwanza
siafu dume bila msaada ana Songambele
kila habari share na wana ufanikiwe ka Yericko Nyerere