Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 13,329
- 40,945
Nakuona mwajiri wangu kwenye moja na mbili 😃😃wewe sio jobless acha uongo
Nakuona mwajiri wangu kwenye moja na mbili 😃😃wewe sio jobless acha uongo
JF sikuhizi imekuwa jalala au sioJF ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu
Jamaa angu huwa unanifurahisha sana mzee wa Job True True/ Kazi kweli kweliNdio Mkuu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Natamani nikuone Mrembo!Nani huyo tumchambe.. kwani ukiwa Jobless unavunja sheria... Anyways jiamini Mjanja M1
Sema tu nakukuta wapi tuanze usiku, haiku wa manane ☺️☺️Natamani nikuone Mrembo!
WEWE NI MMOJA WA WAKUU NINAOWAPENDA BILA YA KUWAJUA SURA ZAO.
VIPI UMEOLEWA MREMBO?
KAMA HUJAOLEWA NAOMBA UJE UNISAIDIE KUTUMIA HAYA MABURUNGUTU, ILI UTOE USHAHIDI KWA HAWA WANAWAKE BAADHI WASIOJIELEWA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Asante mkuu/THANK YOU GENERALNakuona mwajiri wangu kwenye moja na mbili 😃😃
Hahah😃😃🙌Asante mkuu/THANK YOU GENERAL
Kazi kwelikweli/JOB TRUE TRUE
Don't take everything personal & serious in here, filtrate.Sawa Mkuu.
"TUNAPIMA UWEZO WA MTU KUFIKIRI KWA KUANGALIA YALE ANAYOONGEA"
Yangu ni hayo tu Mkuu!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kuna watu baadhi wanadhani kwamba kila mtu hana kazi/pesa ndio maana yupo JF.
WABADILIKE
Imeisha hiyo 👊👊Done.
ANGALIA PM YAKO MREMBO.
Kwa post hii nmekudharauHabari zenu Wakuu,
Kwanza kabisa ningependa kutoa asante kwa Tajiri Max kwa kunipa Kijiwe cha kupotezea muda na kuchota maarifa ya maisha.
Wakuu sio kila unaemuona humu anaandika Pumba ni Jobless au hana akili, wengine tunakosa nafasi za kuwa karibu na watu ndio maana tunaishi humu.
Kwa mfano mimi, au basi msije mkaniroga Bure!
JF ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu kutokana na heshima niliyokuwa nayo kwenye Jamii.
Mwana JF mwenzangu hizi ID unazoziona humu zina mengi makubwa, kwahyo tusidharauliane kwa Mabandiko/Post tunazoziandika humu.
Asanteni.