JamiiForums ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu

Nani huyo tumchambe.. kwani ukiwa Jobless unavunja sheria... Anyways jiamini Mjanja M1
Natamani nikuone Mrembo!

WEWE NI MMOJA WA WAKUU NINAOWAPENDA BILA YA KUWAJUA SURA ZAO.

VIPI UMEOLEWA MREMBO?

KAMA HUJAOLEWA NAOMBA UJE UNISAIDIE KUTUMIA HAYA MABURUNGUTU, ILI UTOE USHAHIDI KWA HAWA WANAWAKE BAADHI WASIOJIELEWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Natamani nikuone Mrembo!

WEWE NI MMOJA WA WAKUU NINAOWAPENDA BILA YA KUWAJUA SURA ZAO.

VIPI UMEOLEWA MREMBO?

KAMA HUJAOLEWA NAOMBA UJE UNISAIDIE KUTUMIA HAYA MABURUNGUTU, ILI UTOE USHAHIDI KWA HAWA WANAWAKE BAADHI WASIOJIELEWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sema tu nakukuta wapi tuanze usiku, haiku wa manane ☺️☺️
 
Habari zenu Wakuu,

Kwanza kabisa ningependa kutoa asante kwa Tajiri Max kwa kunipa Kijiwe cha kupotezea muda na kuchota maarifa ya maisha.

Wakuu sio kila unaemuona humu anaandika Pumba ni Jobless au hana akili, wengine tunakosa nafasi za kuwa karibu na watu ndio maana tunaishi humu.

Kwa mfano mimi, au basi msije mkaniroga Bure!


JF ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu kutokana na heshima niliyokuwa nayo kwenye Jamii.

Mwana JF mwenzangu hizi ID unazoziona humu zina mengi makubwa, kwahyo tusidharauliane kwa Mabandiko/Post tunazoziandika humu.

Asanteni.
Kwa post hii nmekudharau
 
Back
Top Bottom