JamiiForums ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu Wakuu,

Kwanza kabisa ningependa kutoa asante kwa Tajiri Max kwa kunipa Kijiwe cha kupotezea muda na kuchota maarifa ya maisha.

Wakuu sio kila unaemuona humu anaandika Pumba ni Jobless au hana akili, wengine tunakosa nafasi za kuwa karibu na watu ndio maana tunaishi humu.

Kwa mfano mimi, au basi msije mkaniroga Bure!


JF ni Sehemu inayonifanya nacheka, na ni sehemu inayonifanya niongee vitu ambavyo siwezi kuviongea mbele za watu kutokana na heshima niliyokuwa nayo kwenye Jamii.

Mwana JF mwenzangu hizi ID unazoziona humu zina mengi makubwa, kwahyo tusidharauliane kwa Mabandiko/Post tunazoziandika humu.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom