Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.