Sidhan kama itafaaAsante Max.
Mi napendekeza kitu katika uzi, zile reply zenye like nyingi ndizo ziwe zinaonekana za kwanza.
Yani katika uzi, reply zinazo ongoza kwa like ziwe zinajipanga na kuonekana mwanzoni.
Hii itasaidia watu kujenga hoja, majibu kupatikana kwa wepesi, na watu kujikita katika uandishi mzuri.
Unakuta mtu kauliza swali lkn unakuta jibu sahihi lipo #80 , mwanzoni ni masihara matupu.
Sasa huyu wa #80 akifikiiwa watu watampa like na kuonekana wa mwanzoni.
Kiufupi, mpangolio wa reply usiwe kutokana na mtu kawahi, bali hoja zilizopendwa ma watu
Cc Maxence Melo
Umesahau pword unatumaje PM sasa?Member akisahau password yake aandike pm kwenda kwa Invisible atatumishiwa password yake.
Pale pale pa kulog in panakua option ya kukuuliza kama umesahu password au user name unatumia hiyoHiyo pm utaandika kwa kutumia account ipi wakati utakuwa umeshindwa Ku log in?
Ukitumia opera mini kipo mkuuMsisahau kitufe cha dislike.
[emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi ya hii Quote yangu hutapata chochote zaidi! Kwenda huko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau pword unatumaje PM sasa?
Kwenye browser huwa wanaandikaga kosaShukran mkuu, nafurahi nimepata nafasi moja kwa moja kutalk na boss, THREAD HUWA ZINAFUTWA NNO MKUU NA BAN ZINATEMBEA KAMA UMEME UKIANGALIA KOSA HULIONI NA WALA HUAMBIWI KOSA,. TUSAIDIE KWA HILI.
We geniusMsisahau kitufe cha dislike.
Opera mini ya zamani kitufe cha dislike kipo kama kawaida mkuuTulishasema ni vigumu kuweka dislike; iliwahi wekwa ikawa league ya kisiasa ku-discredit hoja. Nadhani kiungwana mtu akiandika kitu hukubaliani naye, mpotezee wala usigonge LIKE. Au, mjibu kwa hoja makini zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi ya hii Quote yangu hutapata chochote zaidi! Kwenda huko!
JAMANI NAOMBA IWE KWA COMENT SIO UZI HUSIKA ITAVUNJA MOYO WATU MTU AKIPOST POINT LIKE 2 UTUMBO DISLIKE 100 JAMAN MH SIPAT PICHAMsisahau kitufe cha dislike.
Kwa maboresho nadhan ingewekwa kwenye app ili mtu aione ajue kosa lake asirudie, kupigwa ban kunasababisha mtu kuja na new id zisizo za lazima,Kwenye browser huwa wanaandikaga kosa
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Hamna kufuta mada, makaburi yatafutwa humu na jf itabaki nyeupe