JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

Salama wakuu
Nimekuja kugundua hiki kitufe ni muhimu sana kwa sababu watu wana post au ku comment upuuzi au majibu yasiyofaa kwa hiyo kitufe cha dislike kitasaidia sana kuwarekebisha hao watu.
 
Pamoja sana aisee kigagula wangu matata unayezeeka huku ukiwa kama binti under 20

Hheheheheee, ujue huu uzi umeanzishwa na founder..... ni utovu wa nidhanmu mkubwa kuendelea kujibizana nje ya mada.

Kwaheri.
 
Mwanzoni nilikuwa naweza kulog in kupitia app baadae ikagoma kabisa.
 
Nichukue fursa hii kuwashukuru wote kwa uvumilivu.

Tunaomba radhi kwa kupitisha muda, posts za JF ni nyingi na hatua ya kuzipitia upya ilikuwa ndefu.

Kwa sasa emojis zote ziko supported na mengine mengi.

Kuna vitu tunaendelea kuvirekebisha; ndani ya saa 48 zijazo mapendekezo yenu yatafanyiwa kazi.

Asante
 
Asante sana mkuu

Mungu awabariki sana kwa kuanzisha platform hii.
 
Last edited by a moderator:
Nichukue fursa hii kuwashukuru wote kwa uvumilivu.

Tunaomba radhi kwa kupitisha muda, posts za JF ni nyingi na hatua ya kuzipitia upya ilikuwa ndefu.

Kwa sasa emojis zote ziko supported na mengine mengi.

Kuna vitu tunaendelea kuvirekebisha; ndani ya saa 48 zijazo mapendekezo yenu yatafanyiwa kazi.

Asante

Mkuu umeeleweka,na unakubalika...kwa kuwa Muungwana na kujali muda.

A true Boss.
 
Back
Top Bottom