Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Mkuu kama itawezekana wekeni utaratibu wa PREDICTION kama unatumia App kama ilivyo kwenye browser.
Namaanisha kama unataka kumention mtu ukiweka tu alama ya @ na kuandika herufi kadhaa basi inakuletea prediction ya ID zenye herufi sawa na ulichotype.
Browser ina utaratibu huu unlike App so inakuwa kazi kumtag/mention mtu kwa app.
Shukran.
mbona hio tayari mkuu?