JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

safi kiongozi natarajia emoji za simu zitakubali kwenye browser moja kwa moja bila kutumia app
 
ili iweje??? we huna nia njema mkuu
Kujua aliyecomment kacomment lini au saa ngapi, inaongeza au kupunguza urgency ya uchangiaji ukiujua muda. Mwanzoni ilikuwapo sasa hivi siioni.
 
Last edited:
Mbona upo ila siku zikipita inakuwa tarehe au unataka zionekane mida ili iweje?

Ukiingia ukiwa kwa desktop site view ukibonyeza tarehe huwa inaonyesha muda..hata kama post ni ya enzi hizooooo
Natumia browser ktk simu na nimeandika hivyo baada ya kuona tofauti na ilivyokuwa awali. Kwa mfano hii comment yako haionyeshi umeicomment lini na saa ngapi. Thread inaonyesha imepostiwa lini ila comment hazionyeshi.
 
Muda wa post kutumwa/kupokelewa kwenye server haupo kama hapo awali.🙁
 
Back
Top Bottom