Hiyo ukiihitaji utapata kwenye webHamuwezi kulifanya box la comment liwe bora kurahisisha sana mambo ya kubold, underline, paste, attachment, etc
Siku nyingine post screenshot ya profile yangu mimi apa!View attachment 815729
Mkuu Maxence Melo nilipoona uzi huu wa marekebisho nimelogin harakaharaka ili nije kuona kama tatizo langu nalo litakuwa limetatuliwa.
Kama uonavyo ktk attachment,sisi tusiotumia Android hatuwezi kuona posts za member yeyote kupitia profile yake.
Hapo mwanzo nilidhani ndio JF ‘mpya’ hii baada ya kutokuwa huku muda mrefu,ila kuna siku nilishtuka ni tatizo baada ya kuona screenshot ya member mmoja huku ambayo ilionesha profile ya memba mwingine nikaona kitufe cha posts za member huyo mwingine ambapo nilibaini anatumia Android ndio maana features zake na zangu ni tofauti.
Natumai hili nalo litashughulikiwa,asante.

Mkuu kwa sisi tunaotumia Android app, maximum ya likes tunazoziona ni 5 tu hata kama zipo zaidi ya 5.Wakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na kuboreshwa ndani ya siku 45 zijazo.
JF inayoonekana na kutumika sasa ilifanyiwa maboresho yaliyotokana na utafiti kwa wadau kati ya mwaka 2012 hadi 2016 ambapo Januari 2016 ilianza kutumika rasmi. Ni hii hii inayoboreshwa zaidi mwaka 2018 ili kuzidi kuifanya JF iwe rahisi kwa wengi kuitumia na kuifurahia.
Yanayotarajiwa:
1) Kuna ambao hawataona utofauti haraka kwani hatujacheza mbali na kilichozoeleka lakini wataona urahisi zaidi wa kuitumia JF
2) Kuna watakaoona baadhi ya vitu vimeondolewa - hivi vitatolewa sababu za kuondolewa kwake na kuoneshwa maboresho yaliyofanywa ili kutopoteza vitu hivyo
3) App: Waliokuwa wakikwama kwa mambo kadha wa kadha - yamerekebishwa kwa kadiri tulivyoweza
4) Mapendekezo ya wadau baada ya JF kufanyiwa maboresho haya yatafanyiwa kazi ndani ya siku hizo hizo 45
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kushiriki katika utafiti uliofanywa (nje ya mtandao) ili kuboresha jinsi mnavyoutumia mtandao huu.
Asante
Hilo ni Tatzo la simu yako mkuuMsisahau tatizo la app kukwamakwama
Nakazia uzi
Kuna watu watakomolewa kwa dislikes hadi wakomewatu mmekazana na dislike![]()
Kuna watu watakomolewa kwa dislikes hadi wakome
yaniMkuu kama itawezekana wekeni utaratibu wa PREDICTION kama unatumia App kama ilivyo kwenye browser.Wakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na kuboreshwa ndani ya siku 45 zijazo.
JF inayoonekana na kutumika sasa ilifanyiwa maboresho yaliyotokana na utafiti kwa wadau kati ya mwaka 2012 hadi 2016 ambapo Januari 2016 ilianza kutumika rasmi. Ni hii hii inayoboreshwa zaidi mwaka 2018 ili kuzidi kuifanya JF iwe rahisi kwa wengi kuitumia na kuifurahia.
Yanayotarajiwa:
1) Kuna ambao hawataona utofauti haraka kwani hatujacheza mbali na kilichozoeleka lakini wataona urahisi zaidi wa kuitumia JF
2) Kuna watakaoona baadhi ya vitu vimeondolewa - hivi vitatolewa sababu za kuondolewa kwake na kuoneshwa maboresho yaliyofanywa ili kutopoteza vitu hivyo
3) App: Waliokuwa wakikwama kwa mambo kadha wa kadha - yamerekebishwa kwa kadiri tulivyoweza
4) Mapendekezo ya wadau baada ya JF kufanyiwa maboresho haya yatafanyiwa kazi ndani ya siku hizo hizo 45
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kushiriki katika utafiti uliofanywa (nje ya mtandao) ili kuboresha jinsi mnavyoutumia mtandao huu.
Asante
Hawawezi wakaweka kitufe cha dislike,kwa maoni yangu mimi hapa ni vyema wakafuata nyao za mitandao ya kijamii iliyofanikiwa zaidi duniani kama vile facebook ambao hawana kitufe cha dislike!!Kuna watu watakomolewa kwa dislikes hadi wakome
Ngoja na mimi ni comment ili nipate like ya melo,Nakoment tu hapa ili nipate like ya Melo
Nipende kukupongeza kwa kazi nzuri ya kuiboresha JF izidi kuwa bora. JF ina taarifa nyingi sana zitokanazo na machapisho toka miaka ya 2006 wakati inaanzishwa. Nilikuwa nawaza kama kutakuwa na " Feature" ambayo inaitwa JF insight ambayo itatumia machine learning katika ku quantify na kuziorganize kwenye thematic areas, the most trending issues kutoka Jamii Forums. Namaanisha kwamba jamii forums inaweza ikawa one way ya kuengage na civil societies katika kudiscuss the most burning issues mfano "What are youths thinking"? Do their problems require interventions at the policy level? . Ningependa sana kufanya project ya namna hiyo ambapo text classification algorithms zitatumika kwa ajili ya kufanya mining ya insights kutoka jamii forums. Ningependa jamii forums iwe kama bloomberg lakini yenye focus kwa Tanzania zaidi. Sijui unaonaje kuhusu ili wazo. Kama nyie hamtakuwa tayari kulifanyia kazi mimi nbingependa kulifanyia kazi kwa kutengeneza service nje ya Jamii forums ambayo itaweza kumine post na kuextract useful information kutoka kinachopostiwa humu.Wakuu,
......
Asante