Isaka James
Member
- Jan 17, 2023
- 14
- 22
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums!
Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na inaonyesha jinsi censorship inavyozidi kushika hatamu hapa Tz, kama ilivyotokea 2018 na X.com 2024 kwa "pono")
Hii inamaanisha wengi wetu sasa tunakimbilia VPN au zana zingine kufungua mitandao iliyozuiwa, haswa kwa kuwa app ya JamiiForums ina downloads nyingi kwenye Play Store (zaidi ya milioni moja). Thread yangu ya awali kuhusu VPN (angalieni hapa: Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)) ilileta mitazamo tofauti lakini mlikubaliana VPN ina hatari za faini TZS 5M au jela ikiwa hautajisajili, lakini hiyo form ya kujaza details yako na VPN kabla ya kutumia inaonekana kama trap ya kufuatiliwa!
Na wengine mlishauri TOR. Leo, nataka tuzame kwenye hili; Hii ni thread itakayowafanya mtafakari na kushiriki, ili tuwafikie wengi zaidi na kuelimishana jinsi ya kuokoa uhuru wa mtandaoni na haswa sasa JamiiForums iko chini ya ban, na wadau wengi wakitumia smartphone na PC!
TOR Ni Nini Na Inafanyaje Kazi?
Wadau, TOR (The Onion Router) ni zana ya kuficha kabisa shughuli zako mtandaoni, sio kama VPN inayotegemea server moja ya kampuni kama NordVPN. TOR ni mtandao wa volunteers (maelfu ya nodes duniani), hupitisha traffic yako kupitia layers tatu+ za encryption (kama vitunguu - Onion!). IP yako inafichwa, site unazotembelea hazijulikani
Pakua TOR Browser bure kutoka torproject.org au Play Store, na utaweza kufungua JamiiForums (sasa chini ya ban), X.com au sites zilizozuiwa bila alama. Tofauti na VPN, TOR inabadilisha route mara kwa mara, ngumu kwa TCRA kufuatilia metadata, ni ninja ya mtandao! Inafaa kwa privacy, haswa kwa simu (app ya Android inafanya kazi vizuri, ingawa haiko fast sana), na ni bure bila subscription. Activists duniani wanaoitumia kuepuka censorship na watu wanatumia kuficha privacy zao!
VPN Inafanyaje Kazi? (Rejea Thread Yangu Ya Kwanza)
Kwa wale hamjasoma awali, VPN inaficha trafiki yako kupitia server moja na encryption (OpenVPN/WireGuard), lakini TCRA wanaweza kuona metadata (IP, protocol, patterns) kupitia DPI. Bila form ya TCRA (Oktoba 2023), hatari faini au jela. Angalia thread yangu ya kwanza kwa mifano na hatua: [Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)]. Lakini kama form(TCRA VPN Form) unaiona inaonekana kama suspicious (censorship trap), TOR ni alternative bora, haswa kwa simu ambapo VPN apps zinahitaji usajili!
Je, Ni Halali Kutumia TOR Hapa Tz?
Hapa sasa wadau! Sheria ya TCRA 2023 inahusu VPN pekee TOR haikutajwa! (Global Voices/CIO Africa). Grey area: sio haramu, hakuna ripoti za kukamatwa kwa TOR pekee hadi Septemba 2025. Lakini Cybercrimes Act (2015) na Online Content Regulations (2020/2025) zinaweza kukushughulikia kama unavunja censorship (e.g., ponography au LGBTQ+ sites). OONI waliripoti blocks za TOR wakati wa uchaguzi 2020, wanaweza kuifunga wakitaka. Kwa sasa, salama bila form, lakini usitumie kwa mambo yanayovuta radar. Bora kuliko VPN isiyosajiliwa(Kutumia VPN bila kujaza form), haswa sasa ban ya JamiiForums inawakasirisha wengi!
Je, Ni Halali Kutumia JamiiForums Kupitia TOR?
Ban ya siku 90 (Septemba 6, 2025) ya JamiiForums ilikuwa inahusu "maudhui potosha na kashfa". Ngumu kufikia bila TOR/VPN, lakini halali kutumia TOR kuingia (TOR sio haramu, JamiiForums haiko banned kamili). Inakupa privacy post bila woga! Lakini TCRA wanaweza kuimarisha, usipost kashfa ili usijikute matatani(Ushauri tu). Hii ban inaonyesha censorship inazidi. je, ni haki au njama ya kuzuia maoni ya wadau?
Drawbacks Za TOR (Kwa Simu, Usipuuze!)
TOR ni ninja, lakini sio perfect, haswa kwa simu ambapo data inaweza kuwa mdogo
Huko Duniani
Sio Tz pekee!
- Myanmar; VPN banned 2024, faini USD 1,400 au jela (TechRadar)
Ushauri Wa Kijanja: Tumia TOR, Uwe Makini!
Sasa JamiiForums chini ya ban na X.com imezuiwa, TOR ndiyo suluhisho kwa simu yako! Pakua TOR Browser (torproject.org au Play Store Android), fungua bila kufuatiliwa hasa form ya TCRA, jilinde surveillance. Usitumie kiharamu, na shiriki maoni ili tuelimishane! VPN? Jaza form (rahisi, lakini trap?). Jinsi ya kutumia kwenye simu
1. Pakua TOR Browser app (Android/PC). Kwa iOS kuna ugumu kidogo (No official TOR browser) lakini unaweza tumia Onion Browser na Orbot
2. Fungua
3. Fika JamiiForums bila alama/kufuatiliwa!
Maswali Kwa Wadau (Tujadiliane!)
Mnaonaje TOR vs VPN sasa JamiiForums imezuiwa? Je, hii ban ya 90 days ni haki au censorship ya kuzuia maoni ya wadau dhidi ya serikali? Mmeshajaribu TOR kwenye Android, inafungua JamiiForums vizuri? Na mbinu zenu za kijanja kufikia X.com bila matatizo? Toeni chini, tujenge pamoja uhuru wa mtandao, censorship hii inatufundisha kuwa makini!

- Slow, Nodes nyingi, page inachukua sekunde (sio kama VPN fast, haswa Android app)
- Sio Streaming/Downloads, Bora kwa browsing JamiiForums/X.com, lakini Netflix au big files itakusumbua
- Security Issues, Nodes malicious (tumia TOR rasmi tu), usiingize passwords au vitu sensitive
- Kuwa Makini, Patterns zinaweza kutambuliwa, suspicious wakati wa crackdowns (kama 2020).
- Browser Tu, Untatumia kwenye broswer tu, si apps kama simbanking (VPN bora hapa, ila form!). PC ni easy peasy, simu inahitaji data nyingi zaidi
Huko Duniani
Sio Tz pekee!
- Myanmar; VPN banned 2024, faini USD 1,400 au jela (TechRadar)
- Belarus/Turkey, TOR/VPN blocked tangu 2016
- Iran/Oman, VPN za serikali pekee, fines USD 1,300
- Russia, matumizi ya VPN yamewekwa kiasi, lakini hapo TOR ipo blocked na ni haramu kabisa kutumia.