Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 117
Kama sikosei ni sisi humu JAMBO FORUMS ndio tuliokuwa wa kwanza kuwa na habari ya MIKATABA ya ubadhirifu wa jamaa zake JK
lakini kama kawaida wale walio karibu na watawala wakaanza kuleta stori za ohhh
LETE EVIDENCE
mara ohhh HAMISHA PELEKA KWENYE UDAKU
mara ohh kiko wapi?
In the end mashambulizi yaliponoga timu ya PR ya LOWASSA ikaingia kujibu mashambulizi na MKJJ akaawa anashambuliwa left and right
Lakini in the end common sense ili prevail THREAD HAIKUHAMISHIWA KWENYE UDAKU kama baadhi ya waliokuwa wakiguswa walivyoptaka na watu waliendelea kuijadali na wenye nyeti zaidi walizileta
Sasa hivi waandishi wa Habari si wa Tanzania tuu bali na wale waliopo nje ya inchi including BBC wamekuwa addicted na JF kwa kujua kuwa we just dont break the news lakini we also analyze them.
Sasa huu mwaka tumeuanza vizuri na sasa hivi kampeni iwe ni kuondoa huu upuuzi wa eti Private life za wanasiasa wanaotutawala na we should have an all out atack on their public and private life na kama kuna mtu hapendi then ale bati tuu
Sasa stay tuned kama waziri mkuu atakuwa Anna Makinda basi mjue kuwa tunaye to the end
Na JK akija na baraza lake la mawaziri 60 basi mjue kuwa hiyo itakuwa ni kanyaboya
EL ni mtu tajiri sana tangu mda mrefu akipokuwa AICC na pesa za maafa Ofisi waziri Mkuu early 1990s!
Pale Arusha tu Leopard Tours ina magari zaidi ya 50 ya Watalii! Wacha raslimali za nyumba Arusha, Dar na Account nono za mabilioni ya shilingi!
Lakuvunda halina ubani, kibarua kishaota manyasi tena tutasota nae kwenye adha ya foleni za barabara. Mwenzie Sumaye mwanzoni alikuwa anaona noma anajifunika kwa kujifanya anasoma gazeti uso hauonekani lakini aaah sasa hivi kishazoea tunapungiana mikono kama kawaida.
Mzee Ngoyai welcome back!
dah BAK kumbe ulikuwa unashusha nondo humu toka zamaniHe has another opportunity to raise his credibility once again, he must be careful who he nominates as the next PM. If he nominates another fisadi then CCM won't give him another opportunity in 2010.
BAK sijui umelishwa nini siku hizi mpaka kulikumbatia fisadi,wenzako nafsi ziliwasutaHe has another opportunity to raise his credibility once again, he must be careful who he nominates aBAs the next PM. If he nominates another fisadi then CCM won't give him another opportunity in 2010.
Ndio maana watu walipobadili gia angani wengine tukaamua kushuka huko huko angani badala ya hii fedheha.mada ya long time, but mashiko yake yana nguvu hata sasa
Duh sijui km Ben Sanane amesoma hapa?huyo chaliiii ni mwizi wa miaka chungu nzima, ina shangaza hata huo uwaziri mkuu aliupata vipi @ 1st place.........inafaa apewe hukumu ya kifo, by kuweka pale kariakoo kwenye traffic ya watu wengi, wamgonge mawe mpaka akate roho!! Ni fisadi la mafisadi, kumvua u-pm haitoshi..................
Leo unakana lowasa sio fisadiHe has another opportunity to raise his credibility once again, he must be careful who he nominates as the next PM. If he nominates another fisadi then CCM won't give him another opportunity in 2010.