JamiiForums imesababisha Lowassa awe jobless?

huyo chaliiii ni mwizi wa miaka chungu nzima, ina shangaza hata huo uwaziri mkuu aliupata vipi @ 1st place.........inafaa apewe hukumu ya kifo, by kuweka pale kariakoo kwenye traffic ya watu wengi, wamgonge mawe mpaka akate roho!! Ni fisadi la mafisadi, kumvua u-pm haitoshi..................
Leo hii yupo huko kwenu chadema
 
Lowassa hana cha kuhurumiwa, kwanza anaondoka akiwa anatucheka na kutuona watanzania wajinga. Kujiuzulu kwake hakuna maana kuwa ndio kunasafisha madhambi yake. Toka mwanzo Baba wa taifa alisema huyu mtu hatufai, JK akajiona kichwa ngumu na sasa ameona. For sure JF imeplay part ya kumfikisha hapo alipo, lakini vilevile tukumbuke kuwa JF haikumtuma awe fisadi, sababu kubwa iliyomfikisha hapo alipo ni ufisadi, tabia yake ya udikteta, na kulifanya bunge kama kindergaten na kuwafanya watanzania wajinga.
Tukumbuke kuwa mafisadi si masikini au wenye mapato kidogo wanaolazimika kupokea milungula kutokana na maisha magumu, ukiangalia kama yeye si maskini ni tajiri nguli, na nafasi ya U-PM ilikuwa tosha kabisa kumhakikishia masiha hadi anakufa hakuwa na sababu ya kuendelea na ufisadi baada ya kuwa PM, lakini ndio ametokea kuwa worst PM in Tanzanian history ever, ajabu sana kama ataishia kujiuzulu, inatakiwa afikishwe mahakamani.
Leo hii unamuabudu, yupo huko kwenu chadema!!
 
Back
Top Bottom