YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,706
- 974
wamisri wamemhukumu mubarak kifungo cha maisha, kwa hiyo hii sred maifunga rasmi atakayepost anakula burning.
burning utakula wewe hapo SHEMALE
wamisri wamemhukumu mubarak kifungo cha maisha, kwa hiyo hii sred maifunga rasmi atakayepost anakula burning.
wamisri wamemhukumu mubarak kifungo cha maisha, kwa hiyo hii sred maifunga rasmi atakayepost anakula burning.
burning?so much more fire
chekechea long time kitambo
haya hayawi hayawi sasa yamekua
yamekuwa kwa urefu gani maana wiki ilee niliyaacha yakiwa madogo sana.
mambo yamebalika kweli tangu jf ivamiwe na vitoto vya fb
Maujuzi yanapatikana jf peke yake
kubwaa kama nini vile.
kubwaa kama nini vile.