JamiiForums game of the year | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JamiiForums game of the year

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kiboko Yenu, Apr 4, 2012.

 1. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  TUCHEZE GAME LINAITWA The last
  man standing. Yani unatuma
  comment kisha anaefuata
  anaanza na neno ulilomalizia. Kwa
  mfano: mtu akiandika, natamani
  kwenda mikumi anayefuata
  aanze na mikumi mf. mikumi ni
  tour inayofuata alaf inayofuata
  kuenjoy maisha inayofuata maisha hayana mwenyewe n.k. OK LET US
  PLAY Atakaye kuwa wa mwisho
  ndie atakayekuwa mshindi.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mchana wote huu nimekuja mitaa fulani ina vichochoro ile mbaya.
  Baada ya kuchoka saana na kutembea ili niweze fika ninapoenda
  nimeona ni bora niketi hapa na kupata kinywaji kwenye banda fulani
  la vinywaji maarufu kama Kioski... Ghafla dio natambua kua
  Nimeketi karibu na kaka ambae nahisi ni tapeli....
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Tapeli mwingine yuko kushoto kwako
  Kafunga kilembe ana anavuta fegi
  Huyo anayejidai kusoma gazeti.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Gazeti lenyewe la udaku limejaa uongo mtupu
   
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mtupu ndio nini?
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nini? usijekuta na hapa jf matapeli wameshaingia manake posts zinachakachuliwa mpaka tutapigwa ban...
   
 7. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nini? usijekuta na hapa jf matapeli wameshaingia manake posts zinachakachuliwa mpaka tutapigwa ban...Pet feza
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ban hapa Jf ni kitu nisichokitaraji kwa kua najua muda wa kuwinda na wapi pa kushambulia !
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kushambulia waendao kinyume na rules za Jf hicho kitakua kitu nisichokiacha kamwe !
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mtupu! Hakuna jambo lolote la maana waliloandika humo ndani zaidi ya umbea na uzushi.
   
 11. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kamwe hatuwezi kufanana kimawazo humu ndani
   
 12. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uzushi wenyewe unasema eti wema karudiana na diamond, na ukurasa unaofuata unasema eti siyoi ajiunga na Chadema baada ya kushindwa uchaguzi
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi wa Arumeru ushakwisha sasa tuangalie ya mbele.
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ndani ya JF watu kama wewe wanakera sana na nakushauri utuondolee kiwingu
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mbele tuendako tutaweza kufanikiwa sana kama tutajikita kwenye maslai ya Taifa.
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeo
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...
   
 18. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  UPEO wa kufikiri wa mbunge ******* bado nina mashaka nao!!
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
   
 20. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mengi kapandisha bei ya soda!!
   
Loading...