100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,555
- 37,850
Si ndipo nashangaa hawa washamba wa Dar , ujue mtu akiishi Dar anajihisi ye ni mjanja kumbe mshamba tu...Bwashee, hapo mwanza kuna fimbo za kisukuma za moto, zina mashepu na hips za kuvunja chaga halafu zimepanda hewani
Wewe kuna kitu unakijua , utafika mbali sanaAkikuita babaa na macho yao utatamani ukahonge gari ulio azima
Nithibitishe kipi...Mkuu, urembo ni subjective. Lakini pia usipoweka wazi kuwa ni maoni yako, usishangae ukipingwa . Wakati huo huo pia usisahau kwamba ni wajibu wako kuthibitisha madai yako.
Yaani nilivyoandika tu Wanawake wa kisukuma... Google ikaleta picha za wanawake wazuri... Ikabidi nichague nikapata hiyo after kama 20sHao ni walembo bwashee, gugo ya warembo tuone
Kwamba mwanamke wa kuoa ni yule aliyepitwa na wakati ! Au bado sijaelewa hoja yako!Kwaufupi mwanamke aliyechangamka au anayejua mambo mengi ya kisasa hafai kw kuoa
hawa wasukuma tabora mabint walio tunzwa, hapo kumtoa kwao andaa ng'ombez 40.Mm nakusaidia picha, bei ataleta View attachment 3632429
Kwa kigezo cha kuruka majoka kitandani bila kuchoka, hapo ranks itakuwa hivi;Ungeweka japo hata kabila kumi kisha tupige kura
MFANO:
1 wazigua
2 wairaq
3 wazaramo
4 wahaya
5 wamasai
6 wasukuma
7 wa mang`ati
8 wapemba+
9 wachaga
10 wamakonde
KISHA wadau wanapiga kura kuliko
Hawa ni wakijijini ndani ndani bado hajajua kuoga, just imagineYaani nilivyoandika tu Wanawake wa kisukuma... Google ikaleta picha za wanawake wazuri... Ikabidi nichague nikapata hiyo after kama 20s
Jana nimeenda na rafkiangu kwa kaka yake, nikakuta huyo mkewe mzuri kweli kweli ana shape hilo na anavaa kiheshima nikajua mtu wa singida alivyo mweupe, kumbe msukuma bana tena ntuzu, aisee ni mtu mzima lakini bado mrembo vibaya mno! Ana heshima! Anamsikiliza mume wake mpaka raha, akikatazwa kitu anasikia, hatokagi hata nje, akitaka kutoka anapiga simu anaomba ruhusa, amekatazwa kutumia social networks, huwezi amini hatumii, yani anatii, now i know why am still single kwa hii kiburi nisingefit vigezo🤭Bwashee, hapo mwanza kuna fimbo za kisukuma za moto, zina mashepu na hips za kuvunja chaga halafu zimepanda hewani
Umalaya tu🙄Wewe kuna kitu unakijua , utafika mbali sana
Wasukuma ni pisi hatari, yani ukikuta ya moto ni ya moto kweli na imekamilika kila idara halafu hawanati kiboya wapo humble tuJana nimeenda na rafkiangu kwa kaka yake, nikakuta huyo mkewe mzuri kweli kweli ana shape hilo na anavaa kiheshima nikajua mtu wa singida alivyo mweupe, kumbe msukuma bana tena ntuzu, aisee ni mtu mzima lakini bado mrembo vibaya mno! Ana heshima! Anamsikiliza mume wake mpaka raha, akikatazwa kitu anasikia, hatokagi hata nje, akitaka kutoka anapiga simu anaomba ruhusa, amekatazwa kutumia social networks, huwezi amini hatumii, yani anatii, now i know why am still single kwa hii kiburi nisingefit vigezo🤭
yani kajishusha sio mchezo, nikasema kumbe wanawake wanaojitambua wazuri bado wapo sana , watu wanakutana na vitu vya ajabu kivyao tu! Yani mme wake akirudi anamjali mpaka mnasema heeh! watu wanapenda ndoa zao🤭
Anamkomesha mwanae au aliwaroga waachane mzee mpumbavu huyu!🫢Usharogwa mkuu, sio bure...🤣View attachment 3632433
Hao ni walembo bwashee, gugo ya warembo tuone
Na huwezi ukawakuta wanajisifia au kujisikia, labda ukiwaletea ujeuri wako ndio utashangazwa, ila wengi wapo low key aisee yule kaka yetu amepata mke bwana! Kajua kutulizana!Wasukuma ni pisi hatari, yani ukikuta ya moto ni ya moto kweli na imekamilika kila idara halafu hawanati kiboya wapo humble tu
Google imeshindw hata kutambua mafuvu ya wasukuma,,, hapa imedanganya
Hapo kwenye makebo na umbo mnyumbuliko nakataa.Nithibitishe kipi...
We nenda wasukuma wanapopatikana kanda ya ziwa..
Kwa makabila yote Tanzania kwenye 3 bora ya wanawake wenye maumbo mazuri.. wasukuma wamo.. tena kwenye mikia itakuwa wanaongoza..