Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Seran nisaidie kumjibu huyu ngosha mwenye kadudu kadololo, atena masala ghete, mimi nimechoka 😅
 
Ukweli usemwe wanawake wa kisukuma wanaheshima sana pia wakalimu tofauti na majabila mengine ukienda kwao na mkeo unapokelewa kwa heshima kubwa mno mpk unajiuliza hivi hawa vipi 😂
Sasa jichanganye uoe muha au mpare na mkurya asee hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…