Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k.

Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama ugonjwa wa saratani.

Mfano swala la maisha usipofikia malengo au ulipoishia uwezo wako ndio unakutana kazia hii ambayo uwezi kuitambua kwa kuelezwa na anayekufanyia ila utaiona kwa yeye jinsi alivyo.

Kuna uzi hapa angalia mama mzazi anasema bora angekufa mwanaye huyu choka mbaya kuliko wa ulaya ambaye ndio msaada.
 
Back
Top Bottom