shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,511
- 2,998
Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha.
Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana.
Kibaya zaidi baadhi ya wanaojiita wachekeshaji hawanavipaji wanalazimisha tu.
Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana.
Kibaya zaidi baadhi ya wanaojiita wachekeshaji hawanavipaji wanalazimisha tu.