Sululisho ni elimu kutumika katika natumizi yake sahihi(kujenga jamii sio kubomoa)Sasa unashauri wa kike wakizaliwa wasipelekwe shule wasubiri ndoa ama?.
What is your solution?.
Tatizo tumeliona
Ts obviousHiyo mizigo sio lazima iwe anafanya ili apate kuongeza kipato ni majukumu waliyopewa na aliyewaumba
Juzi nilikua nahamisha makabati makubwakubwa mbona wanawake4 tulishindwa hadi wakaja wanaume2 na kazi ikaenda fasta
Hapa ndio nasemaga hakuna usawa ila kuna haki sawa
Kweli kabisa na ndio maana hakuna usawaTs obvious
Ndo mana wanaume hawazai
Sululisho ni elimu kutumika katika natumizi yake sahihi(kujenga jamii sio kubomoa)
Mwanamke anayetumia elimu yake kama ngao ya kushindana na jinsia pinzani huyo yuko miseducated na wala elimu yake haina msaada kijamii.
Watoto wa kike kumpelekwa shule ni haki yao ya msingi sana, halafu hapa wengi huwa mnanielewaga hivi eti sijui kwanini.
Haimaanishi ndo usijishughulishe ama usisomeKweli kabisa na ndio maana hakuna usawa
Dhambi ya kujitenga haita kuacha salamaNaona maneno mengi ila point kidogo
Wazazi wangu walinilea vizuri hilo ni kweli, walinipa elimu,wakanifundisha nidhamu na kujitegemea, na vimenisaidia sana, sbabu maisha yangu yapo secured. Nami wanangu nitawalea hivyo hivyo
Hao wanawake wanaochukuliwa na upepo sijui wa kisulisuli ndio hao waliolelewa kuwa wakikuwa kazi yao ni kuolewa na kuzaa na kutunza mume, sasa imetokea hawajaolewa, ndio maana wapo vile
Suala la mtu kuendekeza starehe na kuharibikiwa halina uhusiano na jinsia, maana wapo wanaume wengi waliofanya starehe wakaishia kutumia madawa ya kulevya, wengine wapo gerezani, wengine hata wamejiua kwa msongo wa mawazo, wengine wamefia baharini ama porini wakitaka kuzamia nchi za watu. So ni akina nani ambao hawaishi kwa busara ambao starehe inawapelekesha zaidi na kuwagaharimu maisha yao?
Ni kweli wako wanaume wapishi, wahudumu wa mahoteli n.k. Maana ya hili ni kuwa mwanamume anaweza kufanya kazi zote, nyepesi na ngumu. Lakini mwanamk kuna kazi ambazo zimekuwa specific kwa mwanamume kwani haziwezi, mfano ni huo ukuli. Sijawahi ona mwanamke akindesha guta, kumbuka hii ni mifano tu. Hoja ya msingi ni kuwa yako majukumu maalum kwa mwanamke na yako yamhusuyo mwanamume, hivyo sio sawa kusema kuna usawa wa kimajukumu bali usawa uliopo ni wa kiroho mbele ya Mungu.Mnaenda kwny extremes ambazo smtimes haziapply kwa jinsia zote
Kuna baadhi ya kazi hazifiki huko
Mbona wapo wanaume wapishi?.
Tunajua na kuheshimu, mama zetu waliyatenda haya, hawakutulea kwa mafundisho ya feminists bali kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu. Tunajivunia hao na kujisikia fahari kulelewa na mama wa aina yao.topic za Lizarazu , Nyenyere , Carlos The Jackal , Jokajeusi wote hawa hawajui upendo wa mama..mnajihangaisha bure..lol. ……………..
Nikwel mkuu katika andiko langu nimeeleza namna ambavyo kizazi kimetengenezwa kutokuwa na maadiliMkuu, wapinzani wengi wametekwa na elimu mpya, hawayaoni maisha katika uhalisia wake. Wacha wapinge lakini ukweli utasimama tu.
Kwenye ndoa lolote linaweza kutokea, mnaweza mkaachana, au mwenzako akafariki, so kuwa na insurance ni muhimu, utakuwa naive sana kutojiweka kujitegemea kisa upo kwenye ndoaNa kama kweli wazazi wako wamekufundishwa kujitegemea, basi uko sahihi kwa mabandiko yako. Maada hii haina mashiko kwako kwwni ni kwa ajili ya wanaothamini ndoa. Kwenye ndoa hakuna kujitegemea, bali wote watakuwa mwili mmoja, hayo unayoleta ni nje ya ndoa hivyo nje ya mada.
aisee kwa karne hii mtu utakuwa naive sana kutojiandaa ukidai utaenda kuwa kwenye ndoa, hiyo ndoa ikifeli itakuaje? ndoa hazivunjiki? mwenza wako hawezi kufa? so utaacha kujifunza kufanya kazi kisa unaenda kuolewa?Dhambi ya kujitenga haita kuacha salama
Kama ulifunzwa kujitegemea ni vema ila tambua kutegemezana ni vema zaidi.
Mi nadhani mada hii haipo kwa ajili yako bali kwa wale wenye nia ya kua na taasisi imara ya familia
Muda wa kazi unaisha saa 9, wengine wanaweza kuchelewa kidogo, muda wa watoto kutoka kwenye masomo pia ni saa 9, bado wikiend mpo wote nyumbani, so ni suala la kuamua unatumiaje muda wako tu, kuwa na familia ama kufanya mambo mengine. Mtoto kutaka jambo sio lazima apitie kwa mama,inategemea na jambo lenyewe, kuna mambo mengine anataka kwa mama kisha anapitia kwa baba, anafanya vice versa. Sema sasa kama baba hatumii muda na watoto, wanaweza wakawa wanamuogopa hata kufanya maongezi nae, ndio case unayomaanisha nadhaniSi kweli, hiyo ni maneno ya mdomoni. Tunaposema mama awalee watoto haimaanishi baba si mlezi, tunaongelea mgawanyo wa majukumu na primary responsibility. Baba awapo na watoto hushughulika na masuala mazito wakati muda mwingi watoto huutumia na mama yao. Au hujui kuwa mtoto akitaka jambo kwa baba hupitia kwa mama? Unajua sababu ni ipi? Kama wote mtakuwa nje ya nyumba na mkarudi pamoja huku mna watoto ni saa ngapi mnawalea? Ni suala la kujipanga vipi? Unajua sababu ya mitaa kujaa mapanya road na wavut bangi leo hii? Unajua sababu y watoto kukosa maadili? Usiongee nadharia kuvuti hoja kwako, ongea uhalisia
Tunajua na kuheshimu, mama zetu waliyatenda haya, hawakutulea kwa mafundisho ya feminists bali kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu. Tunajivunia hao na kujisikia fahari kulelewa na mama wa aina yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi kweli mimi nitake kuwa sawa na mwanaume nianze kufanya kazi ngumu kama za ukuli labda bandarini, nianze kubeba gunia la mahindi begani wakati nimepewa mbavu 01 tuu kati ya mbavu 12
Wacha niendelee na majukumu yangu ya kuzaa kwa uchungu, kupamba nyumba na kupika[emoji847][emoji847][emoji847]
Maana yake usiingie kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini. Utakuwa naive zaidi kuingia kwenye ndoa mguu mmoja nje mmoja ndani.Kwenye ndoa lolote linaweza kutokea, mnaweza mkaachana, au mwenzako akafariki, so kuwa na insurance ni muhimu, utakuwa naive sana kutojiweka kujitegemea kisa upo kwenye ndoa