jamii forums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamii forums

Discussion in 'Love Connect' started by AGNETH, Aug 10, 2012.

 1. A

  AGNETH Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  mambo vipi waungwana naombeni munisaidie nitampataje mpenzi wa kweli
  nipo katiaka harakati za kumtafuta mchumba nisaidieni:flypig:
   
 2. A

  AGNETH Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  waungwana nisaidieni jinsi ya kumupata chumba wa ukweli:flypig:
   
 3. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unataka Mbinu Ama jnc Ya Kumjua Huyo Mchumba Wa Ukwel?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Mtihani mgumu ! vijana jitokezeni mchumba huyo!
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hapa kila utakacho utapata,ila kuwa muwazi kidogo maana ombi lako halijitoshelezi waeleze tu unataka mchumba wa jinsia gani, awe na vigezo vipi,uwezo wake kimaisha uweje,kazi n.k,n.k.Mfano tu, mimi hapa ni mwanaume umri miaka 62 natafuta mchumba, sijawahi kuoa wala kuwa na mtoto hata wa kusingiziwa, sichagui dini wala sura ila umri wa mtarajiwa uwe si zaidi ya miaka 20.Kwa mfano huo nadhani umenipata...
   
 6. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nami Natafuta Mchumba
  Shart Awe Wa Kike Na Mwenye Tabia Nzur Na Za hekma Kama Zangu
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  umenipata, hebu ni pm tujue tunafanyaje
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapo nilipo bold inaonekana wewe haujajipanga vizuri hivi ni msichana gani mwenye msimamo atazikubali story kama hizo?
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nyie mbona siwaelew??? nyie ni wavulana au wasichana??
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mpenzi wa kwel hatafutwi ila anakuja mwenyew ndugu yang..kama unataka wa part time ndo hao wa kutafuta!!!! kua makin dunia inavuja!!!!!!
   
 11. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Swali zuri Mwanangu, Angalia sana na uombe Mungu akutangulie katika kuchagua. Jua kwamba, unakwenda kuchagua mtu ambaye utaishi naye kwa maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani. Hivyo umakini mkubwa unahitajika, pamoja na kumtanguliza Mungu katika kuchagua. Wengi wamefanya makosa katika hatua hii muhimu, na baadaye kuishia kujilaumu. Baadhi ya Vigezo katika kuchagua mwenzi wako wa maisha, jaribu kuzingatia yafuatayo:-
  A-Age:- Mwanaume lazima awe na umri mkubwa kuliko mwanamke. Hii ni kwa sababu akili ya mwanamke hukomaa mapema kabla ya akili ya mwanaume. Iwapo watakuwa na umri sawa, mwanamke atakuwa ana akilipevu mbele ya mwanaume na hivyo hawataendena hii itapelekea ugomvi kutatokea. Nakushauri mwanaume amzidi mwanamke kwa miaka si chini ya 5 na si zaidi ya 15.
  B- Beaut:- Haiba: Hii hushauriwi wala kushawishiwa na mtu. kaa na chunguza kama mwenzi wako anakupendeza machoni kiasi kuwa hutamwonea haya kumtambulisha kwa ndugu,jamaa na marafiki zako. Wapo watu wanaona aibu hata kutembea barabarani na wenzi wao, kwa kuwa wanaona haiba zao haziendani. Hii inafanya kujuta katika ndoa.
  C- Charming:-Uchangamfu:- Mwanamke ana sifa ya kuwa mkaribishaji wa wageni katika nyumba. zipo baadhi ya nyumba ambazo wageni wanapofika, baba huhangaika kukaribisha wageni wakati mama amekaa, kanuna, kama vile kala sumu. Hii ni tatizo katika familia
  D- Diseases:- Chagua mwenzi ambaye hana sifa za kuugua mara kwa mara. Kuugua ni kawaida, lakini wapo watu ambao mwezi hauishi bila kulazwa hospitali. Achana na hao.
  E- Education:-Mwanaume anatakiwa awe na Elimu ya juu kuliko mwanamke: Ingawa haitakiwi wazidiane sana. Kama mwanaume ana Masters, basi mwanamke awe na Bachelor. Hii itasaidia kuwa na mtazamo angalau unao shabihiana. nyumba nyingi zimepata matatizo kwa kuwa na wanandoa wenye wigo mpana wa elimu
  F - Family welfare:-Tafuta mwenzi, ambaye hali ya maisha ya nyumbani hayatofautiani sana. Hii ni kwa sababu ndoa huunganisha familia mbili. hivyo familia hizi zisipo fanana, taabu hutokea
  G- Genetic diseases:- Chunguza magonjwa ya kurithi, kama vile Albinism, circle cell etc.

  Naomba niishie hapo kwa leo, na kama utakuwa interrested, nijuze niendelee.
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni mwanamke tayari umenipata, na natangaza rasmi. hii sred imefungwa
   
 13. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseeee baba yangu we ni jinsia gani maana ujasema kama we ni mvulana au mwanamke;;,

  fanya ivyo kabla sijamaliza kunywa mbege
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  You are not serious otherwise usingedandia lifti ya mwenzio.
   
 15. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ongea Na Mimi...am not hr 4 jok!
   
 16. J

  JAK Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Weka wazi CV watakuja then uchambue mwenyewe.
   
 17. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mangaline,PM me the a-z stuff,i am interested kwa further refference,asante.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. sam0309

  sam0309 Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, nipo hapa dear, na mimi natafutamchumba
   
 19. vena

  vena JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Love_Comes_Softly......
   
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  You are heavenly sent Mangaline kwani umenena mambo ambayo ni ya msingi sana na sijawahi kwenda deep nayo... limekuja katika wakati muafaka kwangu...! Asante sana hili somo nalitaka kwa urefu wake hata kama kuna ada ntalipa please usine uvivu kusaidia sisi vijana jinsi nilivyo nikielemika najua ntasaidia wengi kama ulivyo yusaidia hapa!
  A
  B
  C
  D Hii D nimeipenda sana!
  E
  F pia hii maaana hapa ndo dharau zinapoanzia hapa!
  G
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...