Jamii Forums ukiikosa unaikumbuka sana

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Nilikuwa nje ya mitandao hasa Jamii Forums kwa muda wiki nilipata wakati mgumu sana. Hapo awali sikujua kama Jamii Forums ni ugonjwa mbaya kiasi hiki.

Kila nilipojaribu kulala ndoto zilikiwa za Jamii Forums tu na kuwaza hivi Jingalao, Complicator, Mayalla, BAK na wengine watakuwa wamepost nini hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi.

Nimeuona umuhimu wa mitandao ya kijami kwa siku hizo kumi kuwa nje ya mitandao.
Jamii Forums ni kama Oxygen kwenye maisha yetu ya kizazi hiki.

Muda mwingi unawashwawashwa kujua Magufuli na Lissu wako mkoa gani na wameongea nini.

Mungu awabariki sana wanzilishi wa Jamii Forums.
 
Mkuu mm naoana nimesha addicted na jf,nisipoingia hata cku moja najiona sipo fit.Kuna kipindi nilinyakuliwa simu na wajanja wa Kariakoo na pc ilizingua kdg huku mfukoni niko hovyo ilibidii niombe mkopo job nikawadanyanya nimepata dharura huku nimemic jf tu.

Kuna kipindi nyuma kidogo kulikuwa na mgongano Kati ya serikali ya jpm na uongozi wa jf ikabidi jf wasimame kidogo ,ilikuwa kila cku nacheki jf Kama wameiachia siku waliloliachia nilichinja kuku na kusherekea.Kwa ujumla jf imeniongezea vitu vingi kichwani na hata naman ya kutatua matatizo /changamoto yanayonizunguka.
 
Asante kwa jibu.

Sijausikia huu wimbo, nilisoma sehemu Cardi B anasema hapendi clean version ya wimbo huo.

Mie hadi nimeshaanza kuukariri lyrics zake 😁

Sio mzuri kivile,ni vile napenda kumsikiliza
 
Ooh, mimi naweza kusikiliza interview zake lakini siyo muziki wake.

Kuna wimbo wake mmoja tu aliimba na Chance The Rapper ndiyo uko kwenye playlist zangu.
 
Mkuu mm naoana nimesha addicted na jf,nisipoingia hata cku moja najiona sipo fit.Kuna kipindi nilinyakuliwa simu na wajanja wa Kariakoo na pc ilizingua kdg huku mfukoni niko hovyo ilibidii niombe mkopo job nikawadanyanya nimepata dharura huku nimemic jf tu.

Kuna kipindi nyuma kidogo kulikuwa na mgongano Kati ya serikali ya jpm na uongozi wa jf ikabidi jf wasimame kidogo ,ilikuwa kila cku nacheki jf Kama wameiachia siku waliloliachia nilichinja kuku na kusherekea.Kwa ujumla jf imeniongezea vitu vingi kichwani na hata naman ya kutatua matatizo /changamoto yanayonizunguka.
Kumbe mateja wa JF tupo wengi sana
 
The same jamii forums imenisaidia sana hasa ukizingatia mimi si mtu wa kujichanganya sana vijiweni ili kupata lolote. Nikiingia humu napata information nyingi sana nyingine ambazo pengine ningepata uwezo wa kuzijua miaka ya mbeleni sana lakini kupitia jamii forums nazipata. Mpaka sasa vitu vingi vimuhusuvyo mwanadamu vingi vimeshajadiliwa jamii forums hata pindi akili yangu ikitamani kujua ABC za jambo flani basi niingiapo jamii forums kupitia search option naandika key word then napitia thread kadhaa zilizopostiwa na wanachama nakua nimejua sijawa muulizaji sana kwa hawa watu wa mtaani maana wakishajua hujui basi wanaonyesha vitabia vyao vilivyo jificha. kupitia jamii forums pia nimepata heshima kwa kuwa na mwelekeo sahihi wa maisha kiasi kwamba hata vijana wa umri wangu wengine hudhani labda mimi ni mkubwa kwao na kudiriki niita brother kumbe wala ni busara tu nazozipata kutoka kwa wanachama wa jamii forums kutoka maeneo tofauti tofauti tz na nje ya tanzania. ahsante JF LOVE YOU MOREE! MWAAH!!!
 
Nilikuwa nje ya mitandao hasa Jamii Forums kwa muda wiki nilipata wakati mgumu sana. Hapo awali sikujua kama Jamii Forums ni ugonjwa mbaya kiasi hiki.

Kila nilipojaribu kulala ndoto zilikiwa za Jamii Forums tu na kuwaza hivi Jingalao, Complicator, Mayalla, BAK na wengine watakuwa wamepost nini hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi.

Nimeuona umuhimu wa mitandao ya kijami kwa siku hizo kumi kuwa nje ya mitandao.
Jamii Forums ni kama Oxygen kwenye maisha yetu ya kizazi hiki.

Muda mwingi unawashwawashwa kujua Magufuli na Lissu wako mkoa gani na wameongea nini.

Mungu awabariki sana wanzilishi wa Jamii Forums.
Mungu ibariki JF na watu wake

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom