Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Nilikuwa sijashtukia kuwa nimeshinda tuzo hiiView attachment 142433
Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu (Click to View Larger image yake). Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi ni hoja na uchangiaji wake wa mada mbalimbali. Mshindi wa jana (01/03/2014) alikuwa Mkuu CHRIS LUKOSI.
Nilikuwa sijashtukia kuwa nimeshinda tuzo hii
Asante sana mkuu.
Rangi ya magamba kabisa..!!![]()
naona kavaa jezi za CCM kabisaaaaa
Mnaulizana ili mumpe hiyo hatrick sio..
Kuna wale WANAOKERA na KUUDHI wenzao humu JF, nao tungewatafutia zawadi....
ah mbebez christina lukosi umefurahi mwenyewe!!
Yeah.., wazo zuri sana.., na mshindi wa kwanza lazima awe Dr. Kahtaan..!
Hahahahahah...!Man: Dada naomba namba yako
Dada: Unafanya kazi gani
Man: Sina kazi
Dada: 0497659532
Man: Dada mbn namba haifanyi kazi
Dada: Unataka namba inayofanya kazi wakati ww huna kazi