Jamii Forums MEMBER of the DAY!

Jamii Forums MEMBER of the DAY!

Uzuri ama ubaya wa Dr. Kahtaan ni pale anaposawazisha mambo na kujenga hoja zake bila kupindisha wala kumumunya.
Kuna watakaopenda mawazo yake na kuna watakaochukia.
Pamoja sana Dr
 
Mshindi wa tarehe 01/03/2014 ni Mkuu CHRIS LUKOSI.

JFMD LUKOSI.JPG (Click on image to get a larger view)
 
View attachment 142433

Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu. Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi ni hoja na uchangiaji wake wa mada mbalimbali. Mshindi wa jana (01/03/2014) alikuwa Mkuu CHRIS LUKOSI.
Safi



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzuri ama ubaya wa Dr. Kahtaan ni pale anaposawazisha mambo na kujenga hoja zake bila kupindisha wala kumumunya.
Kuna watakaopenda mawazo yake na kuna watakaochukia.
Pamoja sana Dr

Asante kwa maneno yako mkuu!

Hakika unesemema kweli.
Na kupenda au kuchukuwa kwa mawazo ya mdau yyt ndio sifa y jukwaa!
Manake wakiwa wote wamependa basi jukwaa letu litakuwa boring!

Tu pamoja sana mkuu AL SHARPTON
 
Last edited by a moderator:
Dr kahtaan amekua member of the DAY.

Haiishii kwake tu, hata wewe na yule anachungulia hapa anaweza akawa member of the day kwa michango iloenda skuli hapa JF.

Tumpongeze kwa hilo!

Oooh,hongera yake
 
oya we mbebez ni vigezo gani unatumia wewe!!...au ndo based on "utashi"
 
Back
Top Bottom