Kwa sasa kweli haipatikani, kipindi ilipopatikana nilifanya buckup pamoja na data zangu, so hata niki format simu nafanya restore tu naendelea na Tapatalk. Siku ukipata fanya buckup haraka .
Yes! Natumia titanium,uki restore from your buckup unaweza ku update kama kawaida, muhimu uwe umebuckup with data na urestore with data. Kama inavyo onekana hiyo ni latest varsion.