sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
wewemtoto ningekuwa bongo ningekutongozaMi natafuta BUZI LENYE MIPESA YAKE LINILEE, Mwaka wa pili huu sipati kitu au nina nyota ya chipsi yai mieee, kupendwa na wanafunzi tuuu na broke a.ss. Nyie mapedeshee humu ndo kusema hamnioni ama mnanifanyia kusudi tuuu? :lol:. Nishaoga maji ya bahari mara kibaooo, au mpaka mtu anywe sumuu? Mfanye mjiongezee bwana sio fresh wala nini.:A S 20:
Wanandoa wanakutanaga popote hata kwa masangoma, angaza, nk
Wapi cute b ? ??
Pongezi kwao
Tehe! tehe! tehe!...... Angaza vyombo vyote vitakuwa vimeingia tumboniWanandoa wanakutanaga popote hata kwa masangoma, angaza, nk
Mkuu na mimi niunganishehata wa mtaani kwenuNimekutana na wangu humu humu..!!
Indirectly voko endelea kuckilizia atajaa tu kwa ulipoanzia then unampanga after mwenzi ntakuwa huko tz nione kabisa kwa ajili ya kukutengenezea namba ya whatsapp ya nchi utakayomuambia upo .cku ukimdanganya unadondoka bongo mmet unatafuta pamba kali tu kuhusu mpunga usihofu wanawake huwa wanajifanya hawapendi pesa mwanzo kama akikutana na mtu anaehisi ni wa maana kuliko hawa bwana zake jipange tu na ya guest na ya vinywaji vya kuzugia Apooo ukishamtafuna hakuna kugeuka nyumaaaaaaaawewemtoto ningekuwa bongo ningekutongoza
yaani umesha wa "do" auNimeshakutana na 2 humu mbona kawaida tu