Jamii Forums Get Together

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,856
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
 
Venue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
 
Venue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.

Mtanikuta. Ntakuwa nawasubiria pale Mahaba beach club!
 
Naunga mkono Hoja!
Itapendeza sana kusherehekea kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tukiwa pamoja!

NB:
(Venue ni Ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach,Kunduchi Dare es salaam.)
 
Naunga mkono Hoja!
Itapendeza sana kusherehekea kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tukiwa pamoja!

NB:
(Venue ni Ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach,Kunduchi Dare es salaam.)

Ukizingatia there wil be a new president!!!
 
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.

Mkuu ujatuelezea vizuri ni wana JF tu??kwa hiyo wanyumbani not allowed wasilete vihelehele!!Au??:A S 8:
 
Katumwa na UWT ili kwenda kuwa-roundup dissidents wa humu JF! mishikaki mtaenda kulia Keko...:ballchain:
 
Jamani hata get together ni hadi kwa hisani ya watu wa marekani??
Ifike mahali ambapo tuwe na maamuzi yetu wenyewe kwa kile kilicho sahihi, sio lazima kuamuliwa kila kitu.
Wamarekani ni muhimu ujue.upende usipende tunawahitaji.....
Na maamuzi yako yawe yanazingatia itifaki.. sio kiholela.
 
naoan ni jambo zuri sana ila nina mashaka na usalama wetu kwani mapaparazi watajua kumbe ndio hawa wanaotuchafua au kusema yakwetu means jamaa wakichukua kiti chao(ccm) jamani hli nalo tuliangalie kwa kina maana waba siku zote ni watu,
kama vipi na mie nitasonga kama usalama upo,
Conquest-MASAKANA WAONANA NA NYIKA ZITALIA HIYO SIKU
 
Wazo zuri.
Hakika limekuja kipindi na wakati muafaka.
napenda kuwaalika wana jamii forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
 
Jamii forums sio sisi tu, bali na wale tunaoishi nao kwenye jamii yetu.

Mkuu inabi sisi as JF Member then after the relatives hapo ndiyo tunaweza kufahamiana lakini tukichanganyikana for the first time inakuwa vigumu kujua yupi ni yupi!!
 
usalam ziro wajameni siku hiyo tutakimbiana wenyewe kwani get together but it will be run away
Conquest-Wana jf TUNATAFUTWA NA MAADUI ZETU KUTOKANA NA UKWELI WETU.
 
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.

Tuje na familia zetu au kivyetu vyetu? nitafurahi sana kukutana na akina FL1, Maria Roza, Zion daugher na wengineo live - i wish..
 
Back
Top Bottom