Jamii Forums Get Together

Hahah haha ah aha ha aha...
Kwa hiyo mnahisi bujibuji naye ni adui wa jf?
Mi sidhani kama kutakuwa na jambo lolote baya.
Kizuri ni kuwa wenye kutaka kujumuika wajumuike, wasitaka waendelee na sherehe za siku ya uhuru.
Binafsi nitakuwepo.
usalam ziro wajameni siku hiyo tutakimbiana wenyewe kwani get together but it will be run away
conquest-wana jf tunatafutwa na maadui zetu kutokana na ukweli wetu.
 
WE FURAHA YAKO NI KUONA MABINTI TU?
TEAMO ANA NIKOSHA SANA MZEE WA MA INFIDELITY, NTAFURAHI SANA KUMUONA, YEYE PAMOJA NA NGULI.
PIA PAKA JIMMY ANANIKOSHA SANA.:lol:
Tuje na familia zetu au kivyetu vyetu? nitafurahi sana kukutana na akina FL1, Maria Roza, Zion daugher na wengineo live - i wish..
 
WE FURAHA YAKO NI KUONA MABINTI TU?
TEAMO ANA NIKOSHA SANA MZEE WA MA INFIDELITY, NTAFURAHI SANA KUMUONA, YEYE PAMOJA NA NGULI.
PIA PAKA JIMMY ANANIKOSHA SANA.:lol:

Te te te nitakuwa pande hizo mazee hao waoga oga achana nao. Wasimtafute mwanakijiji anaekuna kila upele wakutafute wewe wa jukwaa la mahaba:lol::lol::eyebrows:
 
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
Wewe kama nani uandae party ya JF'ers?? mlishawahi kukutana JF'ers? na mlijadili nini? je kuna mafanikio ya mkutano wenu??
sijaona faida ya kukutana kama JF'ers......
 
we furaha yako ni kuona mabinti tu?
Teamo ana nikosha sana mzee wa ma infidelity, ntafurahi sana kumuona, yeye pamoja na nguli.
Pia paka jimmy ananikosha sana.:lol:

valuer,pepsi na safari wota zisikosekane pliz maana nina wapwaz wanatumia teamo,asprin,kaizer,fidel80,beauty
 
Tuje na familia zetu au kivyetu vyetu? nitafurahi sana kukutana na akina FL1, Maria Roza, Zion daugher na wengineo live - i wish..
Hata mimi skulimeti wako huna hamu ya kuniona? Kweli infidelity is there to stay!
 
Hata mimi skulimeti wako huna hamu ya kuniona? Kweli infidelity is there to stay!
Hahahahaha.I will be more than happy kukutana na mate wa mpwa.Na hivi siku hizi Chrispin kala ban ya maisha ni raha tu.TZ bila ya infidelity
INAWEZEKANA...
 
Wewe kama nani uandae party ya JF'ers?? mlishawahi kukutana JF'ers? na mlijadili nini? je kuna mafanikio ya mkutano wenu??
sijaona faida ya kukutana kama JF'ers......

Hujalazimishwa mkuu...
kama hutaki kukutana kaa pembeni waache wenye interest wajadili....:mad2:
 
Bujibuji, shukrani sana mazee

Ninatamani sana kukutana na wote na ikibidi tutatumia mbinu ya CCM kuwasafirisha na wale wa mikoani ili hiyo disemba tisa tufanye mambo ya maana... nategemea sana kutakua na mahubiri, michezo, dua, sala, vinywaji, music, mashairi nk.

Natamani sana kumuona Malaria sugu akiwa ameshikana mikono na mista sugu; pia si vibaya da sophy akiwa meza moja na mchungaji masa

Ntahakikisha namwalika sheikh mtopea kubariki hafla
 
Mkuu inabi sisi as JF Member then after the relatives hapo ndiyo tunaweza kufahamiana lakini tukichanganyikana for the first time inakuwa vigumu kujua yupi ni yupi!!
well said KK tufahamiane kwanza then menge yafate
 
Mimi nitakuwepo na Shati langu la CCM! nitakuja kama mwana JF!.. please msinitolee macho:glasses-nerdy:
 
itabidi uwe mpole tu kaka/dada kama jina lako!

ucijali.. njiwa dume miye alafu hulka yangu upole.. sijue nije na gari gani mkiona BMW X6 ndimi mimi...! ndani ya vazi la chama
 
Back
Top Bottom