Jamii forums for windows phone.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Nimejaribu kutumia windows phone kuingia jf lakini napata matatizo lukuki. Kwanza nikitaka kureply keybord inatokea in a second inapotea. Siwezi kuandika. Na pia kwanini hakuna application ya jf for windows phone? Napata tabu sana wiki nzima sipo jf. Mods nisaidieni kwa hili..
Ahsanteni.
 
windows phone zina maoungufu kunavitu viko advanced lakini kuna mistake kutoka factory so tatizo siowewe hatatakifulushi kijiunga naamin utakuwa unapatatabu hasa kama sim yako ni nokia but unaweza kuniAmbia ni cm aina gani npate kuku saidia zaid
 
natumia lumia 620,
 
hii aps ya jf inatokana na apps moja inaitwa tapatalk. hawa jamaa wameshatangaza nia yao ya kudevelop app ya window phone. ndani ya miezi hii miwili itatoka app ya tapatalk ya simu yako. ina maana na jf watatoa pia kwa ajili ya windows phone so kua na subira
 

Bulldog ,oya mimi mwenyewe ilikuwa hivyo katika lumia yang bt niliswitch my browser into mobile view and nw works great!
 
Last edited by a moderator:
how? nielekeze ulivyofanya
 
Mi natumia windows phone lakini sipati shida ya kusoma, kuposti, quote reply just about anything.
pamoja na kwamba hamna JF App for windows phone kwa sasa lakini unaweza enjoy JF Mobile Touch version.
 
kumbe jamaa anatumia tapatalk maana nilikuwa nishaanza kuitafuta khaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…