Ndio, siku hizi nagawa muda wangu kwenye sites mbalimbali. Na kwenye mgawanyo huo JF natumia muda mchache mzaidi.Achana nayo!
Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Hata mimi kipindi najiunga mara ya Kwanza kupitia user nyingine ilikuwa ni nzuri Sana sanaaaa now haipo hiyo.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Kabisa mkuu, lakini hii ndio inasemekana ni site ya wazeeUzee huja na mambo mengi
hivi inawezekana humu kukawa na generation mpya ambayo haiwezi kuelewa utofauti tunaofeel?Hata mimi kipindi najiunga mara ya Kwanza kupitia user nyingine ilikuwa ni nzuri Sana sanaaaa now haipo hiyo.
Humu mi naona ukileta nyuzi zako utapata negative comments sana. Nishaona watu wanaleta simulizi wanaishia kutukanwa mpaka mtu anaacha. Kuna jukwaa watu wanatafuta wapenzi anakutana na dhihaka anaamua kufuta uzi.Kama wewe binafsi huchangii kuilisha jf hayo maarifa, habari na burudani nani atafanya hivyo?
Wanafuta nyuzi....kumfurahisha bwana Abdul na Mama yake sasa unategemea nini ? .... hivyo kuwafanya watu makini kupunguza madini na kutokutoa mada za maana tena.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Wazee hawajawaji kuwa wengi kuliko vijanaKabisa mkuu, lakini hii ndio inasemekana ni site ya wazee
Kuna mdau hapo juu katuma comment kama hii kimafumbo, lakini mbona hata simulizi nzuri nzuri kama za Kina Lara 1, The bold, Konda msafi mzee wa Khumbu hatuzipati? nazo zinafutwa? hata majukwaa ya Elimu ya Fedha ukienda maana za maana hazina wachangiaji.Wanafuta nyuzi....kumfurahisha bwana Abdul na Mama yake sasa unategemea nini ? .... hivyo kuwafanya watu makini kupunguza madini na kutokutoa mada za maana tena.
Hawapo siriazi na wanachokifanya/tafuta, huwezi kuacha kupambania mambo yako kisa umekatishwa tamaa au umekosolewa plus dhihaka, binadam wa hivyo wapo tu kikubwa focus kutimiza malengo yako. Humu beba kinachokujenga hayo mengine achana nayo.Humu mi naona ukileta nyuzi zako utapata negative comments sana. Nishaona watu wanaleta simulizi wanaishia kutukanwa mpaka mtu anaacha. Kuna jukwaa watu wanatafuta wapenzi anakutana na dhihaka anaamua kufuta uzi.
ndiohivi inawezekana humu kukawa na generation mpya ambayo haiwezi kuelewa utofauti tunaofeel?