haahhahah amka upike
Kweli we mswahili mwenzanguu mpaka ndala uache kwakee kwani mnaenda wapiii maana msiba haupoo kuna mzimu tuuu hahhha
umukagama unajua tatizo lako ni nini sio kwamba watu hatuji kuomba ushauri hapana ila wewe unaponda sana wanawake wenzio hadi wanaume wanakushangaa
Unajiweka class la juu sana utasema hutumii jf pamoja na sisi stop that bwana hatupendi kuwa against na wewe ila mtu akija na kidole karibia na jicho lazima ureact embu act normal
Uko Jf achana na mambo ya fb na blogs za udaku uko
inaumiza sana wanawake kuwa against na wewe kwa sababu ambazo unaweza kuzibadili embu jishushe kuwa kawaida wote tutakuwa sawa
kama unaona sivyo basi kawafollow kina selena gomez uko twita na kina riri naona jf tubaki wazaramo
Uuhh afadhali jameni kaa umemsamehe
hiki kipindi cha mvua mvua hiki hata hakifai kununiana
afu unipe basi kanamba shemeji tuwe tunachat chat
hata ukinisave fundi makochi si mbaya
Dinazarde asijue....
Leo naenda kula kwa Heaven on Earth mi sipiki.. nikiamka hapa natoka na kanga yangu huyoo mtaa wa nne
Umenikumbusha jambo leo ni ukaguzi wa simu na vinotebooks kulinganisha majina yaliyomo sawa na yale ya kwenye simu. Eti simu nzima majina ya wanaume ni sita mimi, kaka yake, baba yake, mjomba wake, baba yangu na mme wa dada yake jamani hii imekaa sawa? wakati PM zimejaa midume pia michumba mingi ya JF ikiongozwa na Sayansikimu na mingine lakini sioni majina yao kwenye contacts au lile jina na Dada Domestic ndiye Sayansikimu nini? Nimefunguliwa macho ukaguzi yakinifu unaanza Evelyn Salt utapata taarifa
mke jf mume jf, haya majanga....
Alafu wanamshangaa umukagame,,kati yangu mie na wao mwendawazimu atakuwa nani?anaekuja tuanikia ugomvi wake na mumewe humu na kuomba msamaha??asiye na mwanaume humu nani?asiyegombana na mwenzie humu nani?asiyempnda hubby wake humu nani??inahuuuu sana
nenda hadi mbagala rangi 3 kwa kina evelyn salt
Hongera zake...kupendwa ndio huko Dinazarde
Walioachika wanaumiajeeee! Kupendana rahaaaa mweee!
hongera Dina kwa kusamehewa!tunamshukuru sana shemeji kwa kukusamehe! nawatakia jpili njema.Leo ukarangize mapochopocho kibao! nakuaminia !
Ushaaga homeee au mnaenda kwenye vigodori ninii maana siwaelewiii mnaenda kujirusha wapii
Twaenda rusha roho mitaa ya Zakiem.
Leo naenda kula kwa Heaven on Earth mi sipiki.. nikiamka hapa natoka na kanga yangu huyoo mtaa wa nne
Mim tutaendaa siku nyinginee si unajuaa bado badooo naaa .......... hajhhhhahhhhajhh