Wadauzzzzzzzzzz mpoooooooo
Kama kawaidaaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa weeee tukaushikiliaaa bangooo hataree thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa motoo si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee
! !!!!!my laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamuu nakupenda sanaa unafahamu hilo
Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya juaa naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukoseaa najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee
Hayaaa
TATIANA Ichana
Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu
Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa