Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
YY,
Hawa tumewamilikisha Ardhi yetu na vyote vipatikanavyo humo kwa ajili ya Tamaa iliyoendekezwa na watu wachache waliopewa dhamana kuilinda hiyo Ardhi na Mali. Kupitia mikataba mibaya na si kwamba hawakuwa wakielewa bali walifanya hivyo kuridhisha nafasi zao na kutojali wananchi waliowengi.
....Sinclair amekuwa akitamba kwamba "anawajua" viongozi wote wa tanzania.vilevile anatamba kwamba tayari anamjua Mtanzania atakayemrithi Jakaya Kikwete!!!
sasa jamani watanzania tulioko nje mnaonaje na sisi tununua hizi share ili tupate sauti humo ndani kwenye vikao vya wenye hisa? huhitaji fedha nyingi kununua hizo hisa, tufanye uchunguzi kidogo...
tena inamiliki milele, yaani serikali haiwezi kujitoa bila kupata adhabu kali!!!
You want us to become compradors sio? Tutapata sauti gani kama Rais wetu mwenyewe amewekwa kwapani? I am very skeptical of this kind of move!
Mwanasiasa, lengo ni kuwa kama hawa wageni wanaweza kununua hisa na kugawiana faida kila mwaka wakati nchi si ya kwao.. kwanini nasisi tusijiunge na kufurahia matunda ya nchi yetu? Nafikiri kwanza itawashitua sana kama baada ya kama mwezi mmoja Watanzania wa kawaida wananunua hisa na kama tukiwa wengi (kiidadi au kihisa) unakuwa na block kwenye kikao cha wanahisa and you can have a very strong influence!! Just think about it.. hata tukiweza kununua hisa za asilimia 2 tu (kwa mfano kupitia ile kampuni ya uwekezaji ya Tanzania - nimesahau jina lake)....
yeah..hiyo Nico... na kuna ule mfuko mwingine pia...give me sometime nitatafuta hizi details.. (au kuna mtu atakayeniwahi go ahead) kwa maana tumechoka kulalamika. Let us do something positive for a change. Nimeshazungumza na watu wachache humu (privately) ambao wanaona kununua hisa na kuna baadhi ya Watanzania tayari wana hisa. Ila la kwetu hapa hapa is more of economic strategy!
Lakini Nico has not updated its website for sometime now.. http://www.nico.co.tz nina wasiwasi if they are that competent!!
believe me... hasa kama wakigundua madini Buzuruga, Busega, Igoma, Igogo, Mabatini, Maswa, n.k Sinclair lazima apate share yake!!! Kama kweli watu mko serious msikurupuke... tupange kama vile simba anyatiavyo mawindo! so that when we strike, it'll be an unanticipated move, precise in its strike, and deadly in its nature.. this one will separate men from boys, women from girls!! It'll separate those who like to do the talking but dare not to do the walking!! and of course, it'll separate those who like browsing JF, from those who do the posting!!
He is said to be the power behind the throne, the kingmaker, the ever faithful friend of our esteemed President. It is alleged that Mr. Sinclair and his company owns rights to all mining exploration in Tanzania in perpertuity! Hakuna kampuni itakayotaka kuchimba Tanzania ambayo inaweza kufanya hivyo bila kupata baraka na kulipa ada ya kufanya hivyo, kwani Sinclair na kampuni yake wanamiliki ardhi kubwa sana yenye madini!! Ni kweli ni rafiki yetu huyu au adui? What do we really know about him?