T Turbulence Senior Member Joined Apr 24, 2012 Posts 153 Reaction score 30 Oct 10, 2012 #81 Crucifix said: "Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu." Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM? Click to expand... Funza.
Crucifix said: "Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu." Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi. Au na wewe ulikuwa panya kabla ya kujiondoa CCM? Click to expand... Funza.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,922 Oct 10, 2012 #82 Joseph said: Kuna watu wana viwanda vya uongo,vipi kauli hiyo? Click to expand... Ni lazima mtu uwe muongo ili ujue kuwa kuna viwanda vya kutengeneza uongo; kama vile kumanufacture teachers!!!
Joseph said: Kuna watu wana viwanda vya uongo,vipi kauli hiyo? Click to expand... Ni lazima mtu uwe muongo ili ujue kuwa kuna viwanda vya kutengeneza uongo; kama vile kumanufacture teachers!!!
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Oct 10, 2012 #83 aiseee ni kweli panya wamejaa sana katika halmashauri zetu!!!! na ulikwapa sumu hawafi, sumu pekee ni CHADEMA! kijana yupo sawasawa!!
aiseee ni kweli panya wamejaa sana katika halmashauri zetu!!!! na ulikwapa sumu hawafi, sumu pekee ni CHADEMA! kijana yupo sawasawa!!
mangikule JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 6,464 Reaction score 6,011 Oct 10, 2012 #84 Father of All said: Crucifix unamtisha Millya au ni mkwara tu? Yaani siku zote hujajua kuwa CCM hawana tofauti na mchwa, panya, mbwa hata viwavi? Hebu angalia nchi yetu inavyoliwa na kila mdudu huku ikidhalilika kuliko hata mbwa. Shame on you! Click to expand... Mafisi, mbweha, nyang'au etc =CCM
Father of All said: Crucifix unamtisha Millya au ni mkwara tu? Yaani siku zote hujajua kuwa CCM hawana tofauti na mchwa, panya, mbwa hata viwavi? Hebu angalia nchi yetu inavyoliwa na kila mdudu huku ikidhalilika kuliko hata mbwa. Shame on you! Click to expand... Mafisi, mbweha, nyang'au etc =CCM
M Made aw kubofya Member Joined May 8, 2012 Posts 56 Reaction score 12 Oct 10, 2012 #85 Panya wapo wengi nani asiejua? Tena kakosea angesema fuko
Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Oct 10, 2012 #86 tedo said: No, hazina VIWAVI JESHI zina SIAFU.. Click to expand... No, hazina SIAFU zina KUPE kwa kuwa sisi wananchi ni NG'OMBE!
tedo said: No, hazina VIWAVI JESHI zina SIAFU.. Click to expand... No, hazina SIAFU zina KUPE kwa kuwa sisi wananchi ni NG'OMBE!