Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,560
- 1,085
Hadi tunavyozalisha nchini vinapanda kwa kasi ya ajabu. Na unaweza kukuta ni hao hao viongozi ndo wanazipenyeza gharama hizi ili kufidia gharama walizopandishia mishahara huku pembeni wakijizolea sifa za kisiasa.Mbatia yupo sahii kwa hili maisha mtaani hayawleweki. Tunauziwa vyakula na mahitaji muhimu ya kila katika bei ambazo hata nchi zilizopo vitani wanatuonea huruma. Samia Samia Saima. Punguza kuzurura hovyo angalia nchi inavyozama mikononi mwako.