Ndiyo vitu vitapungua bei?hahahahahaha.... lazima arudi ukawa sasa..
Mkuu jadili hoja uchaga hausaidii vitu kushuka beiWachaga siyo wa kuwaamini labda yule Augustino Lyatonga Mrema!
Kabisa lakini leo Mbatia amesifia awamu ya tano kuwa ilijaribu kupambana na tatizo la sukari kwa kuanzisha viwanda vipya ikiwemo cha Salim Bakhresa.kawaida ya wapinzani..........kuponda kila zama.........hata magu walimponda sana
Tujenge road tolls ili gharama za hizi tozo la road toll liko kwenye mafutaTufanye yafuatayo;tshs yetu tuipandikize kwenye BWP na tuondoe kwenye mzunguko noti zote za kuanzia 1000 hadi 10 000(tubakiwe na 100 tu,hili linawezekana Zambia walifanya hili)extra taxes kuhusiana na bei ya mafuta ziondolewe na zibakizwe zile muhimu tu,watumiaji wa barabara tujenge road tolls ili gharama za hizi barabara zipatikane humo;free market tuimarishe ila tulinde viwanda vya ndani;serikali yetu ni kubwa mno we just need 15 Departments;mikoa 20 tu na wilaya 70 tu,wananchi wanahitaji services delivery sio utitiri wa wilaya na mwisho tufanye kazi kwa uadilifu!TRA na TBS ya sasa ni vikwazo mno kwa wajasiria mali ni super bussiness people's wanaonufaika na taasisi hizi.
Walau leo ameona zuri la JPM maana wao ni kuponda tu.Kabisa lakini leo Mbatia amesifia awamu ya tano kuwa ilijaribu kupambana na tatizo la sukari kwa kuanzisha viwanda vipya ikiwemo cha Salim Bakhresa.
Mazuri ni mengi acha waendelee kubanwa mbavu vizuri akili zitawajia maana agenda ilikuwa lissu na ben sanane lakini maisha yalikuwa yanakwenda vizuri sana kwa wananchi wa kawaidaWalau leo ameona zuri la JPM maana wao ni kuponda tu.
Walau leo ameona zuri la JPM maana wao ni kuponda tu.