Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.
Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.
Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.
Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?
Hivi tutaacha lini unafiki?