James Mapalala aliwahi kuteswa na Hayati Mwalimu Nyerere miaka miwili korokoroni

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
FB_IMG_1689673673129.jpg

Waanzilishi na waasisi wa Chama Cha Wananchi (CUF): Shabaan Khamis Mloo, Seif Sharif Hamad na James Mapalala…

Huyu Mapalala aliwekwa ndani na kuteswa sana na Dikteta Nyerere kwa zaidi ya miaka miwili…

Muwe mnaandika na mabaya ya Nyerere ili vijana wajifunze sio kila siku kumwaga sifa na mapambio tu!…!

Pia soma - Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
 
Huwezi kuwa rais bila kuwa dikteta, dhulma, mnyama, mwenye roho ngumu.
Nyerere_mapalala nk
Mwinyi_nyonganyonga watu
Mkapa_mauwaji Zanzibar
Kikwete_seya family
Magufuli_dhulma kedekede.
 
Back
Top Bottom