James Hadley Chase, Mfu anayeishi

James Hadley Chase, Mfu anayeishi

Hii ndio babu kubwa mzeee
1.The Vulture is a patient bird

2. One bright summer morning

3. Shock treatment

4. So what happens to me

5. Thats the way the cookie crumbles

6. Knock knock who is there?

Hzi ndio my best
*Wot iz beta zan mane" kitabu pekee cha huyo mwamba kuwah kukisoma
 
Huyu mjuba pamoja na kuandika vitabu vyke kwenye maudhui ya ki marekani yeye mwenyewe alikuwa muingereza na hajawahi kuishi marekani,alipita tu kwa ndege.

Nimesoma vitabu vyake vingi,lakini kwangu mi 'Mallory' naona mkwaju wa nguvu.

Nahisi bado nnavyo baadhi ya vitabu vyake kwenye ma boksi,siku nikiwa na safari ya bongo ntavinadi kwenye huu uzi kwa wanaovitaka(bure).
Nadhani ni kwa sababu wakati huo marekani ilikuwa ni taifa tajiri kbs duniani hivyo soko lilikuwa kubwa. Ulaya ilikuwa imevurugwa na vita
 
Mkuu unapomtaja Mark Girland umkumbuke pia na Malik wa the then USSR. Alipoonekana mmoja wapo basi na mwingine hayuko mbali. Walikua ni ma agent wa mataifa mawili mahasimu wakubwa lakini wakati fulani wakiokoana kwenye scenario za kifo

Walikua katika “Have This One On Me, This Is For Real” na kingine nimekisahau kidogo. Kila mmoja aki admire skills za mwenzake japo wakiwindana wauwane
Asante Sana kwa kunikumbusha hayo.
 
Nimebakiza novels chache za huyu jamaa ambazo sijazisoma lakini naendelea kwa sababu ninazo zote kwenye soft copy, Salute kwake. Ni miongoni mwa waandishi bora wa novels.
Nawezaje kupata hiyo soft copy?
 
Back
Top Bottom