Naamini wengine si watanzania. Anzeni kuhoji kinachoganywa na news of rwanda. Haiwezekani rais wetu na nchi yetu tutukanwe, halafu tukae kimya. Balozi wa rwanda kama kweli ni mkweli, alikemee gazeri lake kwanza. Press ya tanzania inachekwa sana kwa kutomshughulikia pk na wafuasi wake. Nawaunga mkono jambo leo.
UTAKAVYOONA, you are just a human being and you can't see my heart. Call me all the names you can. Those are defenses tutsis use when they are told the truth. Ukweli utabakia ukweli!....I have been in Rwanda, I have been in Burundi, I lived for several years in a region bordering Burundi, I have experienced a bad relation existing between the two ethnic groups. So my arguments are not based on "google" information. Kila la kheri, kazi njema!
Maneno matupu hayavunji mfupa. Why do we have to match what News Rwanda does? I thought we are people of actions and not many empty words! PK akiendeleZA HADITHI ZAKE tutafute permanent solution na sio kujaza kurasa za magazeti.
Mwl. Nyerere alishasema ya kuwa "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Leo hii mnatuita "watutsi" wale tunaotofautiana mawazo na ninyi mlioamua kuunga mkono wauaji wa FDLR kana kwamba hamjui walichokifanya mwaka 1994. Upofu huu kwa mambo yaliyowazi unatokana na nini? Huo u-tutsi au u-hutu aliyeuanzisha ni nani na kwa misingi gani? Kama hao mnaowaita "watutsi" ni wabaya je Rudasingwa na Nyamwasa ni nani?
Manyerere, tuna watu tunaowalipa kwa kwa kodi ku deal na mambo kama hayo, wakiwemo mabalozi, wizara ya mambo ya nje n.k. Kwa nini gazeti la Jamboleo libebe kazi ya wizara na ubalozi? Waachieni wafanye wao kazi hiyo. Unaweza kukuta tayari wizara na ubalozi wameshapeleka malalamiko ama ombi la ufafanuzi kwa gazeti husika na wanasubiri majibu, huku Jamboleo wakiandika yao. Please acheni serikali ijibu kidiplomasia suala hili.
tulipowakaribisha RPA/RPF/Kagame mwaka 94 Arusha kwa mazungumzo na hao wanaoitwa FDLR leo, baada ya Kagame/RPF kushambulia kijeshi nchi huru ya Rwanda kwa miaka minne na kuua maelfu MBONA HUKUSEMA TUNAUNGA MKONO WAUAJI? wauaji wanakuwa wauaji wakiwa wahutu tu? au watutsi RPA walikuwa wanauwa nini kwa miaka minne nguruwe?
UTAKAVYOONA, you are just a human being and you can't see my heart. Call me all the names you can. Those are defenses tutsis use when they are told the truth. Ukweli utabakia ukweli!....I have been in Rwanda, I have been in Burundi, I lived for several years in a region bordering Burundi, I have experienced a bad relation existing between the two ethnic groups. So my arguments are not based on "google" information. Kila la kheri, kazi njema!
tulipowakaribisha RPA/RPF/Kagame mwaka 94 Arusha kwa mazungumzo na hao wanaoitwa FDLR leo, baada ya Kagame/RPF kushambulia kijeshi nchi huru ya Rwanda kwa miaka minne na kuua maelfu MBONA HUKUSEMA TUNAUNGA MKONO WAUAJI? wauaji wanakuwa wauaji wakiwa wahutu tu? au watutsi RPA walikuwa wanauwa nini kwa miaka minne nguruwe?
Mkuu, kazi ya Gazeti mojawapo ni hiyo-kuhakikisha adui anapewa ukweli hata kama ni mchungu. Tunaweza tukawa hatumpendi Kikwete, au Serikali yake; hata hivyo, linapokuja suala la nchi, lazima tuwe bega kwa bega na rais wetu. lazima tuoneshe kuwa hatukubaliani ya kile kinachozushwa na magazeti ya maadui zetu. Kama Ikulu ina majina 40 ya majangili, pamoja na kinara wao, lakini hadi leo imeyakalia, seuze kuwakemea wanyarwanda itaweza? Hii kazi iachwe kwa vyombo vya habari. Ndiyo maana hata Jamhuri la leo tumeeleza vema namna PK anavyohaha. Uchumi wake umeshakuwa tenge kwa sababu mrija wake uliokuwa ukisimamiwa na M23 kule DRC umekatwa chini ya mashujaa -JWTZ.
Permanent solution ni kumpa dozi kama aliyopewa mwenzake-Iddi Amin, basi!
Ni kweli sisi hatuna tatizo na Rwanda, lakini huwezi kusema kuwa wao hawana tatizo na sisi. Uliona wapi Ubalozi wa rwanda hapa nchini ukikanusha hizo habari zilizoandikwa na gazeti la nchini kwao?
Na kama una ufahamu wa haya mambo, ni nani aliyeanza hizi chokochoko za kumbeza Rais wetu kama sio huyo huyo kagame unayejaribu kumtetea (if I can say so)?....
Tunamheshimu sana Rais wetu na tunaheshimu sana sovereignty yetu, na hakuna mtu atakayetuletea dharau na kebehi tukae kimya.
Anyway, I don't know why you sympathize with those tutsis, you may be a tutsi too!.... By the way, kuna vyombo husika ambavyo vinasimamia hayo magazeti na vinajua na kuona yanayoandikwa, hivyo ndio vina mamlaka ya kuhoji na kuamuru hizo habari zisiandikwe LAKINI SIO WEWE NA MIMI!
eti na wewe ni mmiliki wa gazeti?what a shit. kabisa unasapoti kuchochea uhasama?ukishamaliza Rwanda utageukia wachaga,wanyamwezi wahaya nk.poor boy
Mimi sikujadili ukweli wala uongo nilichojadili mimi ni wale wanaoona uovu wa Jambo Leo na kuusahau ule wa News of Rwanda ambalo ni gazeti la serikali; tena wakiwa ndio wa mwanzo kabisa kutoa habari hizo.Mkuu ktk yote hayo uliyoyaandika hapo juu ni lipi la uongo na lipi la ukweli. Au yote yaliyoandikwa na gazeti la Rwanda ni uongo? Tatizo letu wa-TZ tunapenda sana kufahamu utakatifu wa serikali yetu.
Binafsi sihitaji kuitetea serikali hii bila sababu. Ni bila sababu kwa sababu serikali hii haijawahi kunieleza ukweli. Kuna wakati vyombo vya nje ya Rwanda (UN?) iliandika juu ya kujihusisha kwa Wa-TZ kuuza siraha Kongo. Tena hawa walikuwa watu binafsi na hata siyo serikali. kwa nini sasa huamini kwamba mke wa Rais anaweza kujihusisha na biashara zake.
Tunaweza kujikuta vitani ili mke wa rais afaidike. Kwa nini hatutaki kumuhoji rais wetu badala yake eti tunahoji ukweli wa gazeti la Rwanda. Mbona ni hawa marais wetu wanaotuibia bila aibu? Halafu eti unaniuliza kama nitafurahi kusikia mke wa rais akitajwa kwenye mambo hayo ya vita. Kwangu ni ggod news kama zile za pembe za ndovu.
Hapa hapa vyombo vyetu vinaogopåa kuiandika familia ya Rais, leo hii unasaidiwa kuijua kupitia Rwanda eti wewe unachukia! kwa nini?
Nina marafiki Rwanda, lakini siwatetei hawa wapangaji wa ikulu.
Nasema tena, sitatetea mambo ya kama haya wakati sijawahi kuhusisha ktk shughuli za serikali.
Ah mkuu JMali salama kiongozi? Nilishangaa kutokukuona kwenye mjadala huu. Vema. Unasahau kuweka bayana chanzo cha RPF/RPA kushambulia Rwanda, ama kwa kutokujua ama kwa makusudi (most likely kwa kuwa wewe ni muelewa). Sio siri kuwa serikali ya Habyarimana ilikuwa ina "wahutu" wenye mrengo mkali ambao ndio walikuwa wasimamizi na watekelezaji wakuu wa sera za kibaguzi. Sio siri ya kuwa "watutsi" waliokuwa Rwanda chini ya Habyarimana walikuwa ni raia wa daraja la pili. Kulikuwa na state sanctioned persecution against the "tutsi". They were ostracized from all levels of government and business. Hili halina ubishi. Refugees waliokimbia genocide ya miaka ya sitini na sabini walinyimwa haki yao ya kurudi Rwanda. And so, the gist of what I want to say is the RPF/A's push into Rwanda was a righteous prerogative move for a people denied of their basic right of citizenship in their own fatherland. I liken it to Aaliyah. Suala la watu kufa vitani sio geni but it was not as systematic as the deliberate and selective massacres carried out by the FAR against "tutsis" and moderate "hutus". You must understand that the RPF/A consists of both "hutus" and "tutsis". In fact it has always been RPF/A policy to have both "ethinicities" down the unit level. Unafikiri "hutus" walio RPF/A wangekubali kuona wenzi wao wanauawa bila hatia?
What you can't get into your head ni kwamba mazungumzo ya 94 kati yetu na nyie tulikuwa tumewashika pabaya. Mkakubali kukaa mezani. Halafu cha pili, whether it was in arusha, nairobi, New York, la msingi ni kwamba mlijua siku zenu zinahesabika. Mngekataa, tungewapiga mpaka kigali, kwa hiyo usijivunie kwamba arusha ili host hayo makubaliano. Arusha was just like any other venue. The most important thing was that mlishannza kuona mwisho unakaribia. Sawa dimwit. Halafu nakusubiria kule ulikotoka. Usikimbie
Mkuu. Huyu manyerere anamiliki gazeti huko?
Always tutatofautiana katika malengo ya RPA/RPF, so lets not go there it would be a waste of our time. The FACTS are these.
1. RPA kilikuwa ni kikundi cha waasi ambacho hata malengo yake yangekuwa mazuri namna gani (kama ulivyowatetea), kwa mujibu wa international community walichokuwa wanakifanya hakikukubalika! Ndio maana wenye akili (Tanzania) tukaweka mezani pande zote mbili kwa MAZUNGUMZO.
2. watutsi waliokimbia Rwanda in the 60's hawakukimbizwa na Habyarimana, in fact most of them waliondoka wenyewe. Swali la kujiuliza (naamini unajua jibu) ni kwa nini watutsi hawa wachache walikimbia? FACT ni kwamba majority ya kabila la watutsi wako RWANDA siku zote. since time immemorial, ukihesabu wanyarwanda watutsi dunia nzima, majority yao wako RWANDA, that FACT has never changed! So you see haiingii akilini kuwa eti watutsi walifukuzwa au walikimbia genocide, wakati majority yao iko kwenye hio hio nchi.
Ukweli ni huu: mapinduzi yalipindua ufalme wa kitutsi na kuleta uongozi wa kidemokrasia ambao given the demographics lazima hata leo hii uwe na majority wahutu. watutsi waliokimbia walikuwa ni wale vigogo ambao walikuwa kwenye system ya ufalme. FACT: kagame mwenyewe ni kabila la wafalme ambae ukoo wake ndio unatoa malkia. Hawa vigogo ndio waliokimbilia Uganda na kwingineko kwa kutokubali mabadiliko sio kwa kunyanyaswa. Although in fair-ness kulikuwa na manyanyaso ya kulipa visasi toka kwa wahutu, but they were more likely as a result of sera maalum za ku-redress inequality iliyotengenezwa na ufalme wa kitutsi kwa miaka zaidi ya 400. Mfano: katika ufalme wa kitutsi, wahutu hawakutakiwa kwenda shule, shule ilikuwa ni kwa ajili ya watutsi tu. Ili kubadilisha hilo serikali ya kihutu ikaweka asilimia kubwa kwa wahutu na ndogo ya watutsi katika nafasi za watoto kuingia shule. Ikatumia vitambulisho ili kuhakikisha wahutu waliokuwa wamenyimwa fursa wanapata nafasi zaidi. Hii haikuwa na lengo la kulipa kisasi bali lengo lilikuwa kuleta usawa tu. btw, mimi nakubaliana na idea, lakini sikubaliani sana na mfumo uliotumika. All in all hii concept iko dunia nzima, aliyeonewa anapewa upendeleo. hata sisi TZ tulitaifisha ili watu wote wamiliki, South Africa walikuwa na BEE policy, hivyo Rwanda ilikuwa na system yake ya kipekee (though not perfect).
Lakini wakina kagame kwa kuwa wao walikuwa wafalme hawakukubali hilo, wakataka usawa wakati wanajua fika kwamba wao ndio wangetawala.
Na kama haitoshi serikali ya Habyarimana ilishakubali kushare nao madaraka pale Arusha. Kama ndege isingetunguliwa maana yake ni kuwa kagame na jeshi lake wangekuwa integrated Rwanda na maisha yangeendelea. kwa kujua kuwa katika mfumo huru wa kidemokrasia watutsi hawawezi tena kuwa wafalme, mambo ndio yakawa kama yalivyotokea. Sasa historia ya vita vya miaka minne inafutwa, badala yake tunalazimishana kuanzia historia ya Rwanda kwenye 'genocide'. kama kagame alistopisha genocide si angeishia hapo halafu akarudi kwenye Arusha accord? NO, badala yake anacriminalize the entire army kwa uhalifu wa genocide, ili majority ya wanyarwanda ambao ni wahutu wasiwe na jeshi, watu pekee wenye bunduki rwanda wawe ni watutsi.
Na hili ndio tatizo lake na FDLR. FDLR ndio lile jeshi la nchi halali ya Rwanda, hawa wakirudi focus itakuwa ni yale mazungumzo ya Arusha, ambayo yatalazimisha uchaguzi wa kidemokrasia na sio udikteta.
Ingawa Tanzania hatuna ukabila mtu yoyote mwenye common sense atapata tabu kuamini eti wanyarwanda ambao zaidi ya asilimia 80 ni wahutu wamchague kagame kwa asilimia 90 given historia ya kagame kuwauwa kwa miaka minne na kusababisha genocide. Ni kama vile udai kuwa endapo M23 wangechukua nchi ya DRC, wangechaguliwa kidemokrasia kwa asilimia 90 katika uchaguzi na wacongomani wale wale waliokuwa wanapigana nao! The only way hilo lingewezekana ni pale tu jeshi halali la congo lingekuwa mafichoni nje ya nchi.
Mimi nakuambia ukweli siku FDLR wakifanikiwa kurudi Rwanda kwa mtutu utashangaa jinsi wanyarwanda wanavyogawanyika kwa ututsi na uhutu. Hii ni kwa sababu Kagame hajawahi kuwaunganisha, the only chance for true unity ilikuwa mazungumzo ya Arusha! Huu unyarwanda wa leo ni woga tu kwa kuwa jeshi zima ni watutsi, hakuna mhutu anayeweza kuongea kwa uhuru.
whatever ni mmiliki au mhariri wa gazti uwa na mwona kama mwandishi mwenye weled lakini siku za ivi karibu anashinda umu jf kuandika pumba,kuna baadhi ya magazeti nilikuwa nasoma aticle zake nzuri tu ila kwa ili la Rwanda ukishapigana nao unapata nini vita vya kagera mpaka leo athari zake wahaya ndo wanazilipa na leo ikitokea Rwanda wanaoathirika ni wna bukoba sio uyo manyerere ,mwenyewe kimbizi tu