Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

Wapo pia Azam TV wanakula maisha kama kawa..nawaona kwenye kipindi kinaitwa Al kasus..na wengine pia wanafanya kuingiza sauti (dubbing) hapo hapo Azam TV.
 
Nawakubali sana hawa jamaa nitawafuatilia youtube kama wasafi wataweka video zao
 
Hapa penyewe naumwa yani najisikia vibaya😂😂😂😂😂kazoa huyo anapiga tonge balaaa
 
Ubunifu. Kwa waliofatilia ze comedy kwanzia ikiwa EATV mpaka TBC watakua mashuhuda katika hili
Hawa jamaa wa jambo na vijambo ni watu wakujipanga sana. Sio wanafanya vitu ili mradi waonekane kwenye TV, na ndio maana wakimaliza project moja wanakaa muda mrefu sana ndipo wanatoa project nyingine. Kukaa kwao muda mrefu bila kufanya kazi kunawaongezea kufikiria na kuendeleza ubunifu waliokuwa nao. Hawa ndio wasanii pekee wasio tumia nguvu nyingi kumfanya mtu acheke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom