Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

wasafi wanaigaiga, kwanini wasianze their own programs from scratch? Yaani ubunifu zero kabsa
We ni kopo kweli mku,kwani mambo na vijimambo ni program ya wasafi?

Kile ni kipindi cha wale wale jamaa Kwaio wanazalisha kipindi wenyewe na wanaamua wapeleke TV gani yenye fan base kubwa ili waonekane eneo kubwa na kupata wadhamini wengi au malipo kutoka kwa Mmiliki wa TV.

Ni sawa na program ya dude ya bongo dar es salaam.

Acha kukurupuka,utachekwa kama hivi.

son of almighty God.
 
Nijue kisa cha kutemana na eatv
Now wasafi TV ndio inayotrend sana kwa vijana nk na inapatikana kwenye almost platform zote hapa tz tofauti na EATV ambao wanashuka kila uchwao

Nadhani tukichora graph la TV station za tz,utaona kabisa EATV inapotea na wasafi TV inapanda,
Na sio hao tu wa mambo na vijimambo,wako wengi wenye program zao wamezipeleka wasafi TV kutoka vituo vinginevyo.
Mfano women matter's from TV-E,
Bongo dar es salaam,kuna kile cha katambuga nk.

son of almighty God.
 
Back
Top Bottom