Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
16,997
Reaction score
23,639
Kipindi cha vichekesho chenye ubunifu wa aina yake na mimi nimiongoni mwa fan wa kipindi hiki Cha Jambo na Vijambo ambacho hapo awali kilikuwa kikirushwa na East Africa TV na kilikaa muda mrefu karibia miaka 2 hakijarushwa na tulikimisi sana sasa kimerudi rasmi kupitia Wasafi TV.

Stay turned.
 
Stay Tuned

Hakitakuwa kizuri na bora kama kilivyokua EATV.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa Jamaa wana kipaji sana ila wamekuwa hawana bahati kabisa
 
Session ya cha uroho Kazoa huwa anafurahisha sana....popote ulipo Kazoa agiza sanitizer nakuja kulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wapo wasafi tv kipindi kinarushwa alhamisi saa 3 usiku Jana nilipata msemo mpya kwao hasa yule wa maneno kumi imebadilishwa tu jina hiyo segment kinaitwa poyoyo anakuambia Kuna Kiki za aina mbili Kiki ya pikipiki na Kiki ya bajaji.
 
Jana kanifurahisha sana maneno 10.

Anaambiwa huyu meja kuwa hajafa kazimia.. yeye anasema nazi 100 za nini shughuri yenyewe ndogo hii, nazi mbili zinatosha kuungia maharage... ndo pale akajibiwa sio nazi ila alizirai huyo meja kunta. Asi nilicheka sana asee


Sent using Jamii Forums mobile app
Amenichekesha jana hasa pale aliposema "Haiwezekani sindano achomwe kurwa kupona apone Dotto"
 
Back
Top Bottom