Mkuu DC nadhani huyo 'jamaa' yuko morally wrong na amekumislead kabisa! maana hapa tunaanza kuingia kwenye issue za kwamba kwa nini watu wana have sex in the first place, kama sio kwa ajili ya recreation,?
nadhani kwa mtu mwenye kuwa na maadili hawezi kutegemewa akatae mtoto ambaye ana uhakika ni wa kwake....wanaokataa hivyo ni kwa sababu nyingine za kimaisha tu na ndio maana baadaye hurudi 'kuwatafuta' hao watoto waliowakataa in the first place!
Hao mkulu walikuwa hawapendani kiukweli.....iweje mtu amkatae mwenziwe eti kwa vile alishajaribu urijali wake?:becky:
Hilo la kukubaliana kuwa alishawahi kuwa sperm donor ni ngumu kwa sababu hakutegemea yatokee haya yaliyotokea...yaani kwamba mumewe na ex GF wake atakufa, na kwamba huyo ex wake atakuwa na hali mbaya kimaisha kiasi cha kushindwa kumlea mtoto wake kwa sasa. Ndio maana ikabidi avunje ukimya kwa wife na wife anamuelewa vizuri tu....in fact palipobaki kwa wife ni padogo, ataingiwa tu na huruma as u know wake zetu sio wakatili kiasi hicho!
Mkuu una hakika na hayo unayoyasema? Mbona juzi hapa walishakubaliana kuwa infidelity is here to stay?
Unawezaje kuongelea maadili wakati jamaa alikubali kuzaa na mke wa mtu? Unadhani kuna wema wa wowote aliotenda katika issue hii zaidi ya kufanya uzinzi na ex GF wake? Mkuu bado sikubaliani na wewe. Jamaa akatafute mahali pengine pa kulelea mtoto wake badala ya kumsumbua mke wake!!
Kwa mwendo huu sasa tutawafanya wakatili zaidi ya Hitler!!:smile-big::smile-big:
its true mkuu infidelity is there to stay.,....ndo maana nilicaution kuwa tusiende ndani sana kwenye suala la kwamba not every ejaculation deserves a name.
That said, siye kwenye infidelity hatukatai mtoto hata siku moja! never!
Wema aliutenda tu mkuu tena alikubaliana na mume wake kabla. na hili wala sio yeye wa kwanza..wapo tangu enzi za mababu zetu za 'kuinuliana' uzao..so wema upo tu kwamba walau kamsitiri jamaa!
Kwa mtanzamo wangu hapa unatakiwa kufuta historia yote kuhusu upatikanaji wa mtoto huyo. Tena wala usijisumbue kulifikilia jambo juu ya ndugu wa mume wa mama mtoto wako kwakuwa hiyo ni damu yako.Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na jambo la ajabu kidogo.Huyo jamaa anaetaka kumuoa alishapima akajua hawezi kuzaa yaani mbegu zake zina matatizo,wakawa wameelewana apatikane mtu wa kumpa mimba ili aolewe na mimba ndogo jamaa ijulikane anaweza.Alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo.
Nikamwambia nitafikiria na pia nikikubali nataka nisikie kauli ya jamaa na pia sitaki kuhusika na kitu chochote baada ya hapo.Zoezi lilifanyika mimba ikapatikana na mtoto wa kike kuzaliwa tukapoteza mawasiliano kama tulivyoelewana.Juzi kati bibie kanifata(baada ya miaka mitano) mumewe alifariki mwanzoni wa mwaka huu na yeye hana uwezo wa kumtunza mtoto peke yake,mtoto ana matatizo ya kiafya kibao asthma,tumbo nk kwa kifupi ni high maintenance kila wiki hospitali.Familia ya mumewe wamechukua kila kitu na hana nguvu wala muda wakupigania mali.Kapata kazi Zambia anadai hawezi kwenda na mtoto na kwakuwa mimi ni baba nimchukue.
Nimemweleza wife kila kitu kasema hana tatizo la mimi na yeye kumsaidia kifedha lakini swala la kubwagiwa mtoto mgonjwa hataki kulisikia na maelewano si yalikuwa tusijuwane tena?Tusaidiane mawazo wakuu.
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.
Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.
mpende sana mkeo......ni ngumu kwa mwanamke kuelewa hii hali, tena ndoa yenyewe bado changa hivi ni wakati mgumu kwake.
Uporoto sasa hivi ndio nimekusoma vizuri baada ya kujibu maswali yetu! kumbe ilikuwa kabla haujaoa...lakini bado mama mtoto anatakiwa amlee mwanae.
Hapo sasa umenena ni jukumu la huyo mama kulea...
Nyamayao...bottomline ni kwamba huyo mama mzazi anaonekano kutokua tayari kumlea mwanao...sasa uporoto afanyeje??? Hawezi kumwacha mwanae akae na mama asiyekua tayari kulea!Uporoto sasa hivi ndio nimekusoma vizuri baada ya kujibu maswali yetu! kumbe ilikuwa kabla haujaoa...lakini bado mama mtoto anatakiwa amlee mwanae.
Nyamayao...bottomline ni kwamba huyo mama mzazi anaonekano kutokua tayari kumlea mwanao...sasa uporoto afanyeje??? Hawezi kumwacha mwanae akae na mama asiyekua tayari kulea!
Si unajua kuna wanawake wasio na uwezo wa kulea??
Nimeishi maisha ya kumkosa mzazi mmoja, mama yangu alifariki nikiwa na miaka 3, nikiona situation km hizi namfikiria mtoto zaidi na uchungu wa kukosa mzazi. nazijua shida zake in and out. TAFADHALI uporoto01 mtoto anahitaji msaada wako, wife aelezwe hilo, hiyo ni damu yako, asthma isiwe kikwazo kwako kumhudumia, mimi nilisumuliwa sana na huo ugonjwa nikiwa mdogo, lkn mama yangu(wa kambo) alinibeba saa nane ya usiku na kunipeleka hospitali. hakujali km mie si mwanae, mungu ailaze roho yake mahala pema peponi(na yeye alifariki).
Nimeishi maisha ya kumkosa mzazi mmoja, mama yangu alifariki nikiwa na miaka 3, nikiona situation km hizi namfikiria mtoto zaidi na uchungu wa kukosa mzazi. nazijua shida zake in and out. TAFADHALI uporoto01 mtoto anahitaji msaada wako, wife aelezwe hilo, hiyo ni damu yako, asthma isiwe kikwazo kwako kumhudumia, mimi nilisumuliwa sana na huo ugonjwa nikiwa mdogo, lkn mama yangu(wa kambo) alinibeba saa nane ya usiku na kunipeleka hospitali. hakujali km mie si mwanae, mungu ailaze roho yake mahala pema peponi(na yeye alifariki).
hili jambo ndio mie ckubaliani nalo, alivyomtafuta huyo mtoto kwa maarifa yote mpaka akafanikiwa alijua nani atamlelela?...anatakiwa amlee mwanae kwa bidii zote kama alivyotumia bidii kumpata.
Hebu chukulia huu mfano...
Tufanye umezaa mtoto na bahati mbaya huishi na baba wa mtoto, mtoto anaishi na babake....ukisikia mtoto wako halelewi vizuri utakaa kimya?