Kupitia hii sredi nimejifunza na imenishangaza nyamayao........msg sent
*Sitegemei mwenzangu aje amebeba mtoto eti alimsaidia x-wake ambaye mmewe alikuwa na tatizo la mbegu za uzazi ,over my dead body I will not accept this.............
*Pale mwenzangu atakapokuja na mtoto amebebelea eti huyo alimzaa tukiwa ndani ya ndoa kwamba amekosa matunzo kwa mama yake kama walijua hivyo kwa nn walimzaaa .. basi sasa afikirie mara mbili mbili.......
Pia sikutegemea kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu anayeshindwa kutunza mwanae aliyembebea mimba na kumzaa kwa uchungu miezi yote tisa anathamini kumuacha ili yeye aende kutafuta maisha .....
Kina mama tuko tayari kufa na watoto wetu katika shida na raha ..katika njaa na mateso.. sina hakika kama huyu mwanamke ana akili yake timamu.:juggle:
Sijui kwa nini akina mama huwa mnakuwa na roho mbaya sana kha! utafikiri wewe sio mzazi?:glasses-nerdy:
mkuu kwanza pole kwa Swaum,
swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....na mama yake mzazi akisaididana na mzazi mwenzie.
imekaa kisanii zaidi!:A S 8:Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na jambo la ajabu kidogo.Huyo jamaa anaetaka kumuoa alishapima akajua hawezi kuzaa yaani mbegu zake zina matatizo,wakawa wameelewana apatikane mtu wa kumpa mimba ili aolewe na mimba ndogo jamaa ijulikane anaweza.Alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo.
Nikamwambia nitafikiria na pia nikikubali nataka nisikie kauli ya jamaa na pia sitaki kuhusika na kitu chochote baada ya hapo.Zoezi lilifanyika mimba ikapatikana na mtoto wa kike kuzaliwa tukapoteza mawasiliano kama tulivyoelewana.
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.
Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.

kumbe ndoa yenyewe bado changa sana haya yetu macho na masikio mungu akuongoze ufanye yaliyo mema zaidi
Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na jambo la ajabu kidogo.
Huyo jamaa anaetaka kumuoa alishapima akajua hawezi kuzaa yaani mbegu zake zina matatizo,wakawa wameelewana apatikane mtu wa kumpa mimba ili aolewe na mimba ndogo jamaa ijulikane anaweza.Alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo...
Juzi kati bibie kanifata(baada ya miaka mitano) mumewe alifariki mwanzoni wa mwaka huu na yeye hana uwezo wa kumtunza mtoto peke yake,...Kapata kazi Zambia anadai hawezi kwenda na mtoto na kwakuwa mimi ni baba nimchukue...
...nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
hahaha mkuu DC inabidi nikuchukulie kwa uangalifu manake leo imeshanicost unyumba ujue?:becky:
lakini watu si walisema damu nzito kuliko maji? kweli unaweza kumkataa mtoto ambaye una uhakika ni wa kwako kwa sababu yeyote ile? kwangu ni ngumu!
na mie kwa kuongezea tu, nimeckitika na hii thread kuona wanaume zetu jinc wanavyochukulia cmple kutuumiza mioyo ye2, kwao hili ni jambo la kawaida na lawama wanamshushia mke wa watu acye na kosa hata kidogo....hapo pamenickitisha sana..n.dio ndoa zetu hizi unaambiwa kwa ""mila/ desturi zetu"" hapo mke angetakiwa amtunze huyo mtoto...aisee wacha nikapumzike kabisa.
Kama mama wa mtoto anadanganya kuhusu kupata kazi Zambia anataka kukimbia wewe inakusumbua nini????mwache aende wewe utakuwa umetimiza wajibu wako wa kumlea mtoto wako. Mwambie hivi huyo mama aende salama mtoto amwache na mkeo mwambie ni damu yako huwezi kujadili namna ya kumlea mtoto period.
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.
Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.
Ndio kusema Mama mzazi analazimika popote pale alipo kumlea mwanawe.
Kama mama wa mtoto anadanganya kuhusu kupata kazi Zambia anataka kukimbia wewe inakusumbua nini????mwache aende wewe utakuwa umetimiza wajibu wako wa kumlea mtoto wako. Mwambie hivi huyo mama aende salama mtoto amwache na mkeo mwambie ni damu yako huwezi kujadili namna ya kumlea mtoto period.
Mkuu Kaizer, ... kuna jamaa alinambia kuwa.."not every ejaculation deserves a name". Ndo maana wanaume kukataa watoto wao wa kuwazaa ni kitu cha kawaida tu. Kwa sababu mwanamume anachoangalia ni kama
Mimi nadhani waungwana kwa statement hii ya mleta mada, inaclear mambo mengi sana lakini kubwa ni hija ya Mrs wangu Nyamayao and co kwamba eti Uporoto 'walienda kwenye starehe zao za kuvuana magagulo' na kisha 'kumletea' wife wake...
Maadamu ilifanyika kabla ya ndoa, nadhani ghoja ya kumuumiza mke wake ni irrelevant hapa, na for that matter inabidi kwa kawaida alelewe na mkewe (kama ambavyo Nyamayao anamlea mtoto wa Mr. wake aliyemzaa kabla ya ndoa)
kwa hiyo tafadhalini sana hebu tuliangalie hili kwa mtazamo huo.
mkuu Mbu, hapa Uporoto yupo tayari kabisa kumlea mtoto wake..suala ni kwamba alelewe wapi? Majibu ni kwamba aidha ambembeleze mkewe akubali kumlea maadam ilikuwa kabla ya ndoa au ampeleke kwa dada yake au ndugu zake wengine ambapo atakuwa anapeleka matunzo:closed_2::closed_2:
Nijuavyo mimi, mama au hata baba anaweza kuamua kulea mtoto wa kambo bila matatizo endapo hayo mambo wanakubaliana kabla ya kuingia kwenye ndoa. Kuna jamaa yangu aliachana mchumba wake baada ya kumwambia kuwa ana mtoto aliyemzaa huko nyuma. Maadamu hawakukubaliana kuwa jamaa aliwahi kuwa sperm donor (kitu ambacho naona ni upuuzi) hapo itabidi ategemee huruma ya mke wake!