Jambo lililonishangaza kwa wanaume wa Dar es salaam

Jambo lililonishangaza kwa wanaume wa Dar es salaam

nmecheka sana [emoji23]

mm ni mwanamke ila sijawah kumshika dereva kiuno hao ulowaona wana yao
 
Wanaume wa Dar ni viumbe wasio na vigezo, yaani huwezi kujifananisha na mwanamme wa Dar kwa sababu kwao kushikana na kuchezeana madushe ni kawaida, hapa utakosa kuwa shoga? Mwanamme ukivaa vizuri watakushika na kukutomasa tako kuona kama liko poa, mwanamme ukiwa mtanashati utashangaa atakuja kijana wa Dar mbele yako na kubong'oa kujifanya kaangusha hela, kumbe anataka dushe lako limguse akajisifie kwa wenzake vijiweni kuwa alikushitua. Sina hamu na Dar na sitaki hata kusikia ujinga wao tena.
Aisee...JF inazidi kuharibika.
 
Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika.

Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume wamebebana kwenye pikipiki abiria kamshikiria dereva kiunoni. Jana nilipishana na pikipiki moja leo nimepishana na mbili ziko hivyo. Sasa wazoefu wa dar mnijuze hii ni kawaida au imewatokea hawa tu maana kule kwetu sijawahi ona hii na ikitokea itakuwa ajabu
.
bodaboda1.jpg
 
Mwanaume anapowazungumzia wanaume wenzake! Ujue kuna shida pahali!
 
Wewe unashangaa kushikana viuno?
Mademu hushika dushe za waendesha bodaboda,ndio maana wengi wao wanawabandua sana wake za watu,coz muda wote dushe zipo ON.!!
 
Wewe unashangaa kushikana viuno?
Mademu hushika dushe za waendesha bodaboda,ndio maana wengi wao wanawabandua sana wake za watu,coz muda wote dushe zipo ON.!!
Basi kuna maajabu mengi huku! Mimi mgeni ndo nashangaa kumbe mambo ya kawaida
 
Watu wanabebana kwenye pikipiki barabarani wewe unashangaa mshangao wako unakuja kuuliza JF na wakati ulipaswa uwasimamishe kwa kuwakimbilia kwa nguvu zote hadi wasimame na uwaulize kwanini wameshikana hivyo so that means ungekuja na taarifa kamili.
 
Walikuwa kwenye speed sana alafu ukizingatia mi mgeni wa jiji naogopa hata hiyo kuuliza
 
Back
Top Bottom