Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
- Thread starter
- #21
Mkuu mi sio housegirl ni mpita njia tu nashangaa mambo niliyoyakuta ugeniniKazi ya u house girl iliyokuleta naona itakushinda maana unatumwa gengeni badala ya kuwahi uje kufua nguo za watoto unabakia kushangaa pikipiki