[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika.
Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume wamebebana kwenye pikipiki abiria kamshikiria dereva kiunoni. Jana nilipishana na pikipiki moja leo nimepishana na mbili ziko hivyo. Sasa wazoefu wa dar mnijuze hii ni kawaida au imewatokea hawa tu maana kule kwetu sijawahi ona hii na ikitokea itakuwa ajabu
we jamaa umezngua kwahyo huko usangu wanyuma haogop kuangukaWanyuma anaogopa kuanguka uku dar
[emoji2] [emoji2] [emoji2] we jamaa nomaKazi ya u house girl iliyokuleta naona itakushinda maana unatumwa gengeni badala ya kuwahi uje kufua nguo za watoto unabakia kushangaa pikipiki